Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
unajua maana ya 1590km²
Hajitambui huyo😀😀😀😀
 
Kaka yangu alipomaliza chuo pale udsm kipindi flan alifika apo ilikua zaman kidogo akapiga picha apo kwenye iyo nyumba ya kenyatta sahv ni museum kweli tumia muda wako vizur
 
Yani wakenya kumiliki ardhi mutaisikia kwenye radio😀😀😀😀😀
8C703824-1465-4D95-BBC6-2E9F51F09308.jpeg
 
Muhimu punguzeni sana tabia ya kuungana pamoja na kulindana, hiyo ni tabia ya wanafunzi. Moderator anafanya kazi yake bila kujali kwamba huyu ni wa nchi gani, kwanza huwezi jua, inawezekana hao mods ni kutoka nchi mbalimbali za EA, sasa mnaanza kuonyesha tabia ya kujifanya mnaonewa kama wakenya, punguzeni sensitivity.


Sensitivity must be there,mbona ninyi mnaweka hapa post mbaya lakini hatujawahi gang up as Kenyans Ku copy kwa moderator mbona ikiwa upande wenu mnatoka kama siafu?,,,,we will not accept this kind of treatment or you abolish the thread all together .
 
Back
Top Bottom