Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi huku Cocacola hakuna kitu. Kuna Pepsi, Azam Cola, Sayona, Jambo and the list is endless. Pia naludia kusema coca cola hamfiki Pepsi kwa kuuza Dar
 

Attachments

Haka kaboy hua kananifurahisha kanakana kila kitu hata siku El Matador ataeka mamake hapa akitafuta maji huko huko mbagala utaona akikana na kuitisha ushahidi.
ushahidi unao maana unatuletea sehemu inaudongo mwekundu nani alikwambia dar kuna udongo mwekundu au milima???😀😀😀 inamaana mkishindwa hua munaokota picha za congo au siera lione munaleta kusema dar....bogus
 
As I said asubuhi ya Leo,
Many Kenyans like you seem to know everything mwishowe wanaaibika kama hii nyumbu hapa, hakuna unachojua wewe,
Please, know all the facts before arguing,
Kichwa kuubwa imejaa upepo.
 
Omba radhi Tafafhali,
Mods huyu mtu asinyamaziwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…