sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Nani anahitaji tumaini... Nawahurumia sanaendelea kujipa matumaini😀😀😀😀😀😀😀 muulize mwenzio somo ashalielewa
Nani anahitaji tumaini... Nawahurumia sanaendelea kujipa matumaini😀😀😀😀😀😀😀 muulize mwenzio somo ashalielewa
the new market is here 😀😀😀😀😀
![]()
![]()
hehehe tanzania inawatoa jasho mkajua bado ni ile tz ya 90s😀😀😀😀Nani anahitaji tumaini... Nawahurumia sana
from mitumbwi to ferry market so its normal sijaona tatizo hapo😀😀😀😀😀😀
Una njaa wewe sio bure.8km is modest for an ldc
Yaani nyinyi hamuwezi kosa excuse kwa kila kitu haha.jangwani myumba zote zimevunjwa wamehamishwa wote pako open space 😀😀😀😀
Sasa unabisha au ??? Nakwambia nyumba zote zilibomolewa na pamebaki empty space wamehamishwa wote kwasababu panajaa maji coz iko karibu na mto maimbazi sasa unataka tukubali wakat uongo we vpYaani nyinyi hamuwezi kosa excuse kwa kila kitu haha.
Alafu mnaitisha ushahidi hata kama unajua tu ukweli. sijaona mkenya akikuambia leta ushahidi. You are always living i denial. Nyie sio wanaume. Mko na umama sana.
Hajala huyo,wakenya wanapiga ndefu tu usiku mpaka kesho.Una njaa wewe sio bure.
I can tell hauna hata baiskeli, driver mgani atasherekea Toll???the only toll in east and central africa
![]()
![]()
![]()
![]()
I can tell hauna hata baiskeli, driver mgani atasherekea Toll???
Sikumoja mtafunguka macho..
unasherehekea pinnacle huku huwezi afford hata half square metre ndani yake.Safi sana halafu chizi kutoka Kibera anakwambia watu wana ijua Serengeti siyo Tz. Sasa kwanini hapo hawaja andika Serengeti, hivi mtu anaeza akaja akatembelea masai mara asijue kama yuko Kenya!!
I can tell hauna hata baiskeli, driver mgani atasherekea Toll???
Sikumoja mtafunguka macho..
Huyo bogus achana nae amezoea kukariri![]()
![]()
unasherehekea pinnacle huku huwezi afford hata half square metre ndani yake.
Muulize mwenzio collo anamjua vizuri ichoboy.