Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
WATU 10 WASHIKILIWA NA JESHI POLISI MKOANI MOROGORO KWA MAUAJI YA DIWANI WA CHADEMA. - KIJUKUU CHA BIBI K | Habari na Matukio
Acha kupiga kelele, waliohusika na hayo mauaji wote wamekamatwa na wamesema ni mauaji ya kulipiza kisasi kutokana na migogoro ya shamba. Vipi waliowaua Jacob Juma nanChris Msando, wamepatikana?, na polisi waliowaua watu 60 katika kipindi cha uchaguzi, kuna hata mmoja aliyehojiwa?, usilinganishe Kenya na Tanzania katika hilo, ni sawa na mbingu na ardhi.
leta hata ya masaki na oysterbay niletee ya buruburu ama imara daima.......Dar na tarmac is like water and paraffin
We are LDC and yet we are feeding your ugly malnutritional protruded bellies,
What is the meaning of your Middle income , wtf.
One day the trueth will hit you and you will be very ashamed of your ignorance.unajua mala ya mwisho imepata muwekezaji wa madini ilikuwa kipindi cha Raisi Mkapa 2000-2005, Kikwete yeye ni Gesi, Magufuli viwanda
In general we sell more items to you guys more than we buy from you... LDC hadi kwa ubongoChina feeds US,does it mean that China is richer than US? You don't feed us for free my dear,we buy with our money which helps to build roads in your country,,,,, were it not for Kenya to buy maize from Tanzania I don't where you duffer could be,,,,,
Kwakwel hapa msemo wa trump ,Tanzania hatuukwepi shithole kabisa !True Dar na infrastructure hazipelekani... Check LDC infrastructure index... Wanacheza na DRC na SomaliaView attachment 704486
Humu utatulia alafu utakimbia
Kazi mnayo yakufanya...Kwakwel hapa msemo wa trump ,Tanzania hatuukwepi shithole kabisa !
Pamoja na rasilimali zote ,amani na kilakitu tumeshindwa na vinchi vya ajabuajabu
Loh!!!!
Then why do you call it phase 1 and 2. Why misuse the word "phase"Tunajenga zote kwa pamoja kwasababu pesa za kwetu na sio za mkopo,
Pesa za loan ndio hua zinamaaharti hawakupi pesa ya phase 2 wakat phase1 hujajenga lakin tanzania inatumia internal source 3.16b usd ndio maana unaona tunajenga kwa pamoja zote 722km
Hope umeelewa
Here it's purely grammar gone wrong.Because Kenya uses consecutive model of construction, you think that is the only option available, we are using different model of doing that, all phases will be built concurrently not consecutively like the way you do.
You clearly know what I mean boy. Don't beat around the Bush now.Do you mean this
Lol naona watu wanacheza ligi na somaliland. Nchi imekuwa kwa civil war for decadesTrue Dar na infrastructure hazipelekani... Check LDC infrastructure index... Wanacheza na DRC na SomaliaView attachment 704486
ituchukue muna nn cha ajabu ???πππOne day the trueth will hit you and you will be very ashamed of your ignorance.
Kenya ilivyo sahii itawachukua zaidi ya 20years kuifikia interms of Education, infrastructure, Retail... mna kazi yakufanya..
But endelea na domo ndio mnaweza...
tunaita phase kwasababu zimeanza muda tofaut heheh ila wakenya munaupuuzi sana πππππThen why do you call it phase 1 and 2. Why misuse the word "phase"
Phase is supposed to mean a particular order or sequence, i.e to get to phase 2 you should go through phase 1.
Why not find something like Tanzania Railway Project. Mnaua English kisha mnazika, hamma huruma.
In Kenya you saw kenya standard gauge phase 1 which is msa to nairobi, na ilimalizwa kwanza kabla ya kuanza the 2nd phase to naivasha.
You guys are confusing us.
hii ni hasira sasa...bro we sio wa kumwaga povuππππtunaita phase kwasababu zimeanza muda tofaut heheh ila wakenya munaupuuzi sana πππππ
wewe kuna kitu hujakielewa tanzania area is twice of kenya so unategemea index zitakua ranked sawa??True Dar na infrastructure hazipelekani... Check LDC infrastructure index... Wanacheza na DRC na SomaliaView attachment 704486