Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taking a stroll through nairobi streets, one thing I'm always amazed my city is how you find green big trees and bushes even right at the heart of the CBD. Impressive i must say, they didn't compromise on environmental conservation and it gives it some natural beauty. I know of cities that literally have plastic or man made trees
 


usijihesabie haki.si mumeua mwanafunzi juzi nyie vilaza? ?kwenye msafara wa mamba kenge wamo.
 
usijihesabie haki.si mumeua mwanafunzi juzi nyie vilaza? ?kwenye msafara wa mamba kenge wamo.
Kwanza alipigwa risasi kwa bahati mbaya, wananchi na serikali wote waliungana kulaani tukio lile, nchi nzima iliungana kwa pamoja kuonyesha thamani ya uhai wa mtanzania, askari waliohusika walikamatwa, serikali ilishughulika sana na kuhharimia mazishi, huo ndiyo ubinadamu. Kwenu huko hakuna yeyote anayelizungumzia pamoja na ukweli kwamba aliuliwa kwa makusidi, mwili wake umeburuzwa na kuachwa vichakani kama vile mbwa. Je thamani ya uhai wa mkenya na mtanzania ni sawa sawa kweli?
 


Wale wapinzani wanaocharazwa mapanga kila siku hawana thamani ya uhai au sio watanzania? mbona serkali haijakemea wala kugharamia mazishi? a despot's government is so hypocrisy.
 
https://www.facebook.com/Kifo cha huyu mwanafunzi aliyeuliwa na polisi leo hamjakisikia, au maisha yenu hayana thamani ukilinganisha na watanzania?, mtakumbuka last wiki watanzania walivyoshughulikia kifo cha yule mwanafunzi?,



lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…