Waulize UNhabitat wanaotoa status ya Slums duniani, kwamba mbona Tanzania hamjaingiza slum hata moja katika level ya dunia?
omba omba wa ktz ni babkubwa sana, wanazo mpaka genuine travelling documents zinazowaruhusu kuingia kenya.basi kama ni hivyo kumbe ombaomba wakibongo wanamshiko kuliko maskini wakikenya yaani mpaka wanapata pesa ya tramsport yakuja nairobi
....kwaajili ya kuomba.... aiseee ametisha[emoji3] [emoji3]
tafuta official link sio hio ya jamii forum iliotenenezwa na mkenya mwenzioπππππππTanzania has the third highest slum growth rate in Africa, over 6% per year, and the sixth largest slum population. With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two-thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more than 11 million people &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; which would make it the third largest slum population in Africa. In recent years, the government has carried out numerous evictions, leaving tens of thousands of poor households without shelter, water and sanitation, and often livelihoods.
People living in Tanzania's slums often lack secure tenure, clean water and basic services, and the rapid growth of slums has seen water and sanitation coverage regress in many areas. Pit latrines, the most common form of sanitation, are poorly constructed and often collapse during the rainy season. Health is a common problem: according to the World Health Organisation, 6% of Tanzanian adults live with HIV/AIDS, increasing to 11% in urban areas. Antiretroviral drugs are often unavailable and unaffordable for the poorest, who also suffer from significant stigma and discrimination, as HIV/AIDS remains a taboo subject. The HIV/AIDS pandemic presents unique challenges in slum communities, notably due to the speed of transmission and unsanitary conditions, resulting in low health levels and severe poverty.
Unajua nyote mnaishi slums ndio mnadhani kuwa hakuna slums. Mko kwenye slums, haswa wewe mahali ulipo hapo ni slum.
Slums in Tanzania
Lete report ya UNhabitat acha kuleta blogs za Kibera hiziTanzania has the third highest slum growth rate in Africa, over 6% per year, and the sixth largest slum population. With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two-thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more than 11 million people &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; which would make it the third largest slum population in Africa. In recent years, the government has carried out numerous evictions, leaving tens of thousands of poor households without shelter, water and sanitation, and often livelihoods.
People living in Tanzania's slums often lack secure tenure, clean water and basic services, and the rapid growth of slums has seen water and sanitation coverage regress in many areas. Pit latrines, the most common form of sanitation, are poorly constructed and often collapse during the rainy season. Health is a common problem: according to the World Health Organisation, 6% of Tanzanian adults live with HIV/AIDS, increasing to 11% in urban areas. Antiretroviral drugs are often unavailable and unaffordable for the poorest, who also suffer from significant stigma and discrimination, as HIV/AIDS remains a taboo subject. The HIV/AIDS pandemic presents unique challenges in slum communities, notably due to the speed of transmission and unsanitary conditions, resulting in low health levels and severe poverty.
Unajua nyote mnaishi slums ndio mnadhani kuwa hakuna slums. Mko kwenye slums, haswa wewe mahali ulipo hapo ni slum.
Slums in Tanzania
Millions of Kenyans βto face hunger by 2030β
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya where the money is[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi hujui kwamba investors wengi kutoka Kenya wamekimbilia Tanzania kuliko nchi yoyote ile duniani?, sasa anayeangalia wapi kwenye pesa ni investors au beggars?, stupid.
wametengeneza na wanaondoka nazo kwasababu uchumi wenu umeyumba sana na sector zote zishakufa mumebakia kutapatapa huku njaa inawatafuna nje ndaniππππππYeah, hizo pesa wanazokuja kuinvest huko walizitengeneza papa hapa kenya. We are colonizing you with FDI na ni kama hauelewi. Sitaki kuenda deep hapa maana nnavowajua watanzania wanaweza kuanzisha xenophobic attacks against kenyans juu ya wivu. Lets do business, let our investors invest there and if you have any, they are welcome here. Thats how to grow each other
futa basi machoziπππππππ
hahahaha lakini dunia hawaitambui wanatambua slums za kenya na nigeriaππππππThe mere fact that all the countries in your post are by far ahead of Tanzania should tell you alot. No matter how many times you appease yourself with it, Kenya will always be your peers in terms of development. Your job is to follow us, learning to avoid the mistakes we have made in our quick journey to progress.
yaani kiukweli wapo vizuri.... bila shaka watakuwa wakenya wanaidiwa sana na hao ombaomba kqa kupewa sukari na unga.....ili wapate mlo safi...omba omba wa ktz ni babkubwa sana, wanazo mpaka genuine travelling documents zinazowaruhusu kuingia kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kabisaakinachowastusha wakenya leo hii ni kutahamaki kuona maendeleo tanzania imeyafanya kwa muda mchache sana huku walikua wakijua bado ni ile tz ya 90s na bahati mbaya sana kwao ni kwamba rais wa sasa uncle magu kawabana huku anawapumulia kisogoni ππππππππππππ
hehehe leo naona unatoa povu la omoπππππππ eti kenya hawana tabia ya kurudisha watu makwao munaongea as if ni watu wazuri sana, kama ni beggars kutoka tanzania wanarudishwa kwao watawezaje kukaa kwenu ilihali hawana official passport au any documents huoni kama ni hatari kwa usalama wenuππππππ
tatizo lenu nyinyi hua munataka kuonesha ulimwengu kua hamuna shida wakati munadhiki mpaka kwenye makalio, beggars wakwenu wenyewe ili dunia isiwashangae munasingizia tanzania kwan mangap mazuri ya tanzania munadanganya dunia kua ziko kwenuπππππππ
kama ni upuuzi boda za kiafrika njoo wewe tanzania uone kama utatoka??? au nenda merarani jifanye wewe mwehu ruka ukuta alioeka magu alaf uone sasaπππππππHii uliyopost ndiyo povu. Sijasema Kenya ni watu wazuri lakini pia si nchi nyingi Afrika ambazo huwapa wanadamu fursa ya kufanikiwa from their humble beginnings kama Kenya. No one will try to intentionally and maliciously make it hard for you to succeed in Kenya so long as you are not engaging in illegalities. Thats how it should be, in fact hizi borders za Kiafrika ni upuzi tu, ingewezekana kila mwafrika atembee kokote bila kizuizi ili kufanikisha maisha ingekuwa murwa sana. Hakuna tunachodanganya sisi. Ninyi ndio mnaojidanganya kuwa mko sawa na demokrasia, amani, uchumi, ilhali mnachokifanya ni kama ostrich burying their head in the sand. Hamna demokrasia, you have a one party dictatorship, amani yenu ni kwa sababu mmefunzwa kuvumilia kugandamizwa na serikali, mnadhani kuwa mko sawa kiuchumi kwa kujikaisha bila kutembea maneno tofauti tofauti ulimwenguni muelewe kwamba you are live in a fool's paradise. View attachment 701644
Thread hii haifungwiwakenya wanamuomba moderator afunge thread. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tulijua tuu hii battle lazima mngetangaza kushindwa. tumewapiga KO mpaka mmeanza kuokoteza picha za nchi zingine na kudai ni slum ya dar. smh.
tanzania oyeeeeeeeee. pongezi kwenu ma-comrade wote mlioshiriki katika battle hii. hakika tunahitaji kujipongeza kwa ushindi huu na kurejesha heshima ya tz miongoni mwa wakenya.
Moderator sasa ni ruksa kuifunga thread, tayari wapinzani wetu wameshatangaza kushindwa.
asanteni wote kwa uvumilivu wenu.mungu awabariki sana. sote tuseme amen/inshallah.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
basi kama ni hivyo kumbe ombaomba wakibongo wanamshiko kuliko maskini wakikenya yaani mpaka wanapata pesa ya tramsport yakuja nairobi
....kwaajili ya kuomba.... aiseee ametisha[emoji3] [emoji3]
hakuna kufunga hii thread wameanza kuogopa ππππππThread hii haifungwi
Hii haiwezi isha leo
Kila siku vitu vipya vinazuka
Wakitaka Kenyan news idode ifungwe