KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
Best selling author kutoka Nigeria anavyo isifia Dar es salaam kwa maendeleo nakuiponda nchi yake
Bado yupo TanzaniaView attachment 700930 View attachment 700931 View attachment 700934 View attachment 700935 View attachment 700937 View attachment 700938 View attachment 700939 View attachment 700941
Look at at what your Nigerian ambassador has to say about JKIA. It could be true through his eyes and experiences same with Dar when he was there. Beauty is n the eyes of the beholder after all.
Reno Omokriβ @renoomokri
This is the Jomo Kenyatta Airport, Nairobi. It is the best airport I've visited in Africa. I checked in and printed my boarding pass and completed ALL formalities on this electronic self check in kiosk. It even verified my passport. Kenya is a country I'd recommend to anyone!
12:13 AM - 23 Feb 2018 from Nairobi, Kenya
ππππππ wtf
mwenzangu, huyo ni yule mhindi/mzungu mliokuwa mkijigamba naye kama ambassador wenu. Sasa keshatuonyesha kwamba hapo tu kando ya BRT ni slums tupu. Kasema kunakaa Orangi Town Karachi ama mashamba (rural area). Usishikwe na machungu sana, hii kibera si suluhisho kwa shida zenu. Kila post yako na wenzako ni Kibera kama come back lol. Be creative.
sasa ujiulize kwa akili yako mbona hawako tanzania na usitumie akili kubwa kujibuππππ
na kama ni watanzania mbona hawarudishwi kwao, mbona sisi tukiwakamata tunawapeleka kwenu??
Hizi ulizotaja ni zile zinazoshiriki ligi za Kimataifa, ila kuna zaidi ya hizi ambazo zipo ligi daraja la pili[emoji23] [emoji23] [emoji23]sio kibera tu hzi hapa zingineπππππππ
- Kibera
- kayole
- Dandora
- Baba Ndogo
- Fuata Nyayo
- Huruma
- Kawangware
- Kangemi
- Kiambiu
- [[pumwani (including Gatwekera, Kambi Muru, Kangemi, Kianda, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Laini Saba, Lindi, Makina, Makongeni, Mashimoni, Mugumoini, Raila, Sarang'ombe, Shilanga, Siranga, Soweto East and Soweto West)
- Korogocho
- Majengo, Nairobi
- Matopeni
- Mathare
- Mathare Valley
- Mukuru kwa Njenga
- Mukuru slums
- Nyalenda
- Ziwa la Ng'ombe
- Kenyatta University Slums
Nakuru is a very big city my friend
Kama mnauwezo wa kusaidia beggars, vipi mshindwe kuwasaidia watoto chokoraa wanaolala barabarani na kupora watu?, vipi kuhusu slums ziwashinde?Wakenya hatuna tabia ya kuwafurusha maskini hohe hahe ati warudi kwao ilhali walifika hapa na ndoto nyingi za kufanikiwa. Sio wabongo tu, bali pia Wakongomani, Wanyarwanda, wa sudani n.k. Watanzania wanajulikana hapa Kenya kwa kuwa beggars, most people wakiona beggar kitu cha kwanza wanafikiri ni Mtanzania. Nakupa tu uhalisia wa mambo, hata urebuff na picha za kibera haitobadilisha ukweli. Kuna mtu alishare video ya beggars toka bongo na bado unawakana maskini. Usiwe hivo, kuwa mwadilifu na uwakubali nduguzo hata kama awana lolote. Nimesoma article hapa na beggars wako wengi tu sana huko Tanzania, na Mwanza ni kama headquarters. Sasa sijui tukiwa deport hawa walioko huku itakuwaje maanake watajaa mijini kwenu.
Why beggars flock to Mwanza city
sio kibera tu hzi hapa zingineπππππππ
- Kibera
- kayole
- Dandora
- Baba Ndogo
- Fuata Nyayo
- Huruma
- Kawangware
- Kangemi
- Kiambiu
- [[pumwani (including Gatwekera, Kambi Muru, Kangemi, Kianda, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Laini Saba, Lindi, Makina, Makongeni, Mashimoni, Mugumoini, Raila, Sarang'ombe, Shilanga, Siranga, Soweto East and Soweto West)
- Korogocho
- Majengo, Nairobi
- Matopeni
- Mathare
- Mathare Valley
- Mukuru kwa Njenga
- Mukuru slums
- Nyalenda
- Ziwa la Ng'ombe
- Kenyatta University Slums
Waulize UNhabitat wanaotoa status ya Slums duniani, kwamba mbona Tanzania hamjaingiza slum hata moja katika level ya dunia?Slums zenu zipo kila mahali hakuna haja ya kuzi zone. You dont even understand the term zoning.
Kama mnauwezo wa kusaidia beggars, vipi mshindwe kuwasaidia watoto chokoraa wanaolala barabarani na kupora watu?, vipi kuhusu slums ziwashinde?
Inaonekanya Kenya attracts beggars because nchi yenyewe ndiyo beggar number one in EA, remember birds of the same group do fly together, in Tanzania we do attact investors, business people, farmers, teachers and alike [emoji3] [emoji3]
chakuskitisha haipo hapa u knw why????πππππSlums zenu zipo kila mahali hakuna haja ya kuzi zone. You dont even understand the term zoning.
Waulize UNhabitat wanaotoa status ya Slums duniani, kwamba mbona Tanzania hamjaingiza slum hata moja katika level ya dunia?
ππππππ yani watu wanaishi maisha sina hakika kama nguruwe anaweza kustahmiliHizi ulizotaja ni zile zinazoshiriki ligi za Kimataifa, ila kuna zaidi ya hizi ambazo zipo ligi daraja la pili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
futa basi machoziπππππππSlums zenu zipo kila mahali hakuna haja ya kuzi zone. You dont even understand the term zoning.
bila shaka alipo check-in aliendelea zake na safari.Look at at what your Nigerian ambassador has to say about JKIA. It could be true through his eyes and experiences same with Dar when he was there. Beauty is n the eyes of the beholder after all.
Reno Omokriβ @renoomokri
This is the Jomo Kenyatta Airport, Nairobi. It is the best airport I've visited in Africa. I checked in and printed my boarding pass and completed ALL formalities on this electronic self check in kiosk. It even verified my passport. Kenya is a country I'd recommend to anyone!
12:13 AM - 23 Feb 2018 from Nairobi, Kenya
wakikujibu bila kuingiza emotion nitag.Waulize UNhabitat wanaotoa status ya Slums duniani, kwamba mbona Tanzania hamjaingiza slum hata moja katika level ya dunia?
Millions of Kenyans βto face hunger by 2030βKusaidia beggars kivipi? Beggars kazi yao ni kubeg yani kuomba omba mitaani. Forget about business in Tanzania, no one knows Tanzania for business. Hilo hakuna atakaye kuamini. Sasa nikishakwambia beggars ni wa bongo tena unaanza kurusha hilo liwe ni kana kwamba shida ni Kenya kwa kuwa na beggars wa kutoka bongo. Maajabu hayo. Kiuhalisia ni kwamba wabongo wengi sana ni maskini hohe hahe na licha ya kubeg tanzania, haiwatoshi kukaa kule maanake hakuna mali ya kutosha inabidi wanaji-export hadi kenya ambako wanajua vizuri tu kuwa Wakenya wana mali kushinds kwao. Hawawezi enda Uganda ama Burndi ama Rwanda maanake wanajua kule hakuna pesa. Kenya is where the money is and they are just following the money.
hehehe leo naona unatoa povu la omoπππππππ eti kenya hawana tabia ya kurudisha watu makwao munaongea as if ni watu wazuri sana, kama ni beggars kutoka tanzania wanarudishwa kwao watawezaje kukaa kwenu ilihali hawana official passport au any documents huoni kama ni hatari kwa usalama wenuππππππWakenya hatuna tabia ya kuwafurusha maskini hohe hahe ati warudi kwao ilhali walifika hapa na ndoto nyingi za kufanikiwa. Sio wabongo tu, bali pia Wakongomani, Wanyarwanda, wa sudani n.k. Watanzania wanajulikana hapa Kenya kwa kuwa beggars, most people wakiona beggar kitu cha kwanza wanafikiri ni Mtanzania. Nakupa tu uhalisia wa mambo, hata urebuff na picha za kibera haitobadilisha ukweli. Kuna mtu alishare video ya beggars toka bongo na bado unawakana maskini. Usiwe hivo, kuwa mwadilifu na uwakubali nduguzo hata kama hawana chochote. Nimesoma article hapa na beggars wako wengi tu sana huko Tanzania, na Mwanza ni kama headquarters. Sasa sijui tukiwa deport hawa walioko huku itakuwaje maanake watajaa mijini kwenu.
Why beggars flock to Mwanza city
basi kama ni hivyo kumbe ombaomba wakibongo wanamshiko kuliko maskini wakikenya yaani mpaka wanapata pesa ya tramsport yakuja nairobiKusaidia beggars kivipi? Beggars kazi yao ni kubeg yani kuomba omba mitaani. Forget about business in Tanzania, no one knows Tanzania for business. Hilo hakuna atakaye kuamini. Sasa nikishakwambia beggars ni wa bongo tena unaanza kurusha hilo liwe ni kana kwamba shida ni Kenya kwa kuwa na beggars wa kutoka bongo. Maajabu hayo. Kiuhalisia ni kwamba wabongo wengi sana ni maskini hohe hahe na licha ya kubeg tanzania, haiwatoshi kukaa kule maanake hakuna mali ya kutosha inabidi wanaji-export hadi kenya ambako wanajua vizuri tu kuwa Wakenya wana mali kushinds kwao. Hawawezi enda Uganda ama Burndi ama Rwanda maanake wanajua kule hakuna pesa. Kenya is where the money is and they are just following the money.