Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #7,701
Kha!! Ndiyo umedanganywa hivyo!?. Tulianzisha vita ya kuhusu majengo marefu jengo kwa jengo mkakimbia. Sasa hivi mnavizia tunatoka kazini tupo njiani mnaanza kupost vitu vile vile. Tuanze kuhesabu majengo yenye gorofa zaidi ya 20. Kati ya Nai na Dar.wapi?? nyie ndo mnapost picha ya jengo moja na mkipost picha ya panaroma ya cbd kuna jengo mbili aikosi kuonekana sijui Tpf ama tfs..hahaa real estate buda hamtoboi
Nakutaka usikimbie tuende one after another. Subiri one hour tuanze. Sawa!?