Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar haimo kwenye top 125 ama ni mi sioni??
Twende taratibu Edwardo. Nyie kwa sifa za kijinga hamjambo.
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA juu ya mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirishia Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi TANGA
R.jpg
unnamed.jpg

MICHUZI BLOG: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA juu ya mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirishia Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi TANGA
 
The disease eating the Danganyikans! They can see their problem, as the country is left behind by many In Africa
1425_3.jpg
 
Niseme tu kitu kimoja kwa jirani zetu wakenya,hiki kikazi cha vijana machachari mnaopambana nao hapa,sio kikazi cha watu waliozaliwa 60s au 70s,wengi wetu hapa tumezaliwa 80s na 90s .so you are battling with a new generation which is educated and well informed about their country and neighbors.ndio maana hapa tunawatoa jasho.
 
Jamaa sasa hivi wanakuja kwa kuvizia.
 
Niseme tu kitu kimoja kwa jirani zetu wakenya,hiki kikazi cha vijana machachari mnaopambana nao hapa,sio kikazi cha watu waliozaliwa 60s au 70s,wengi wetu hapa tumezaliwa 80s na 90s .so you are battling with a new generation which is educated and well informed about their country and neighbors.ndio maana hapa tunawatoa jasho.

Sidhani, mngekuwa ni watu weledi, wasomi, waliopevuka, mngejua nchi yenu mahali ipo!! Kwa sasa sijui kujui kusoma inakusaidia nini kama huwezi ona mchi yenu ilvyodorora kimaendeleo??? Bado mnakurupuka tu na propaganda za Magu
 
Twende taratibu Edwardo. Nyie kwa sifa za kijinga hamjambo.
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA juu ya mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirishia Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi TANGA
View attachment 488865 View attachment 488866

MICHUZI BLOG: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA juu ya mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirishia Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi TANGA
For your information kenyans. This will be the longest waxy crude oil pipeline in the world, I mean longest in the world. And this will cover 1111 km in Tanzania and 335 km in uganda. Haha we are ahead of you kenyans.
 
Pazii seriously?? Where did you go to school?? Why do you think having a longest waxy crude oil pipeline is anything special in economic terms?? You need to really update yourself
 
Back
Top Bottom