Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu uwanja ni mzuri sana kwa nchi kama ya Kenya. Kenya ni 3rd World Country, tz ni 4th World.
kuna viwanja vingi vibaya Europe zaidi ya hiyo. No one is perfect.
This week, Afc Leopards ya Kenya ilikuwa inacheza na some African country, (Africa Champions League preliminaries).... I wish mungeona hio kiwanja Afc Leopards walikuwa hosted.
Acha kujilinganisha na watu walioshindwa wewe, kwasababu kuna watu wanalala barabarani kwahiyo unaona ni sawa kama unaishi slums za Kibera?
 
F.A Cup inahusisha mpaka timu za madaraja ya 4 kwa hiyo uwanja unaeza usiwe mzuri kutokana na hadhi ya timu, ila mm sijaona ulio fikia kiwango kibovu kma huo wenu wa premier league. Hakuna team kwenye championship ambayo inatumia uwanja mbovu kama huo wenu kama una bisha nitajie hiyo team mimi nitakuletea evidence
haha.... kama ushawatch game za England za Championship, utakubaliana na mimi kuwa huo uwanja wetu ni mzuri sana. nimesahau team ambayo ilicheza na Tottenham last month..... wish you could see the stadium
 
huu uwanja ni mzuri sana kwa nchi kama ya Kenya. Kenya ni 3rd World Country, tz ni 4th World.
kuna viwanja vingi vibaya Europe zaidi ya hiyo. No one is perfect.
This week, Afc Leopards ya Kenya ilikuwa inacheza na some African country, (Africa Champions League preliminaries).... I wish mungeona hio kiwanja Afc Leopards walikuwa hosted.
Viwanja vyenu vizuri sana
 
haha.... kama ushawatch game za England za Championship, utakubaliana na mimi kuwa huo uwanja wetu ni mzuri sana. nimesahau team ambayo ilicheza na Tottenham last month..... wish you could see the stadium
Buda.. mbona unakua mbishi sana, hizo games nazi watch sana. Mimi ni mtu wa soccer na leo nita angalia KPL yenu nione viwanja vyenu na technology yenu.

Hiyo match unayo sema ili end draw ya 2-2 na hiyo timu ni Rochdale. Kwakua ni mbishi ngoja niweke picha ili wengine waone.
1519468014172.jpg
1519468021699.jpg
1519468032949.jpg
sasa huu uwanja utafananisha ni ule wenu
 
Tunaweza kuwa tuko nyuma ndio hatujifichi unlike you ambao kila kitu munakana na kujifanya muko perfect.
Tofauti yetu na nyinyi ni kwamba 'We' identify our problems and tackle them head-on while You guys bury your heads in the sand and assume you are perfect. See the difference.
hakuna mtu amesema tuko perfect ila tunajaribu kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi ndio maana unaona tanzania imeshika nafsi ya kwanza kwenye inclusive economy in africa na kwanza ujue maana ya inclusive economy ndio utafahamu naongea nn hapa
 
Buda.. mbona unakua mbishi sana, hizo games nazi watch sana. Mimi ni mtu wa soccer na leo nita angalia KPL yenu nione viwanja vyenu na technology yenu.

Hiyo match unayo sema ili end draw ya 2-2 na hiyo timu ni Rochdale. Kwakua ni mbishi ngoja niweke picha ili wengine waone.View attachment 700747View attachment 700748View attachment 700749 sasa huu uwanja utafananisha ni ule wenu
Hahahaha umemshika pabaya sana, hao ndiyo wakenya tunaowajua, watadanganya kila kitu, muhimu kwao waonekane wapo juu
 
You guys are not exposed. Am sure you have never watched England's Championship Games, Carling Cup Matches or F.A Games. Last month there were several games I think zilikua ni za Carling Cup na zilikuwa aired... Arsenal lost 4-2 to some minor team and Tottenham drew 1-1 with also a minor team..... Those Stadiums were horrible to say the least!!! Coming from a Developed Country 'England'.
The one which Arsenal played on ilikuwa na patches nyingi sana na ni kama io kiwanja ilikuwa imetoka kupakwa majivu a day before the game.
The Tottenham one haikuwa na lights za kutosha, na kiwanja ilikuwa imepakana na nyumba za ghorofa, saa zingine camera inachukua watu wamesimama kwa madirisha yao wanaangalia game.
So I don't understand what the fuss here is all about. You all need to get exposure.
acha porojo.
 
Buda.. mbona unakua mbishi sana, hizo games nazi watch sana. Mimi ni mtu wa soccer na leo nita angalia KPL yenu nione viwanja vyenu na technology yenu.

Hiyo match unayo sema ili end draw ya 2-2 na hiyo timu ni Rochdale. Kwakua ni mbishi ngoja niweke picha ili wengine waone.View attachment 700747View attachment 700748View attachment 700749 sasa huu uwanja utafananisha ni ule wenu
Iliisha 1-1. Harry Kane alikomboa dakika za 80 huko. Uwanja ulikuwa umepakana na nyumba za ghorofa, watu wamesimama kwenye madirisha.
Kisha ile game ya Arsenal pia na some lower division team, ended 4-2, uwanja ulikuwa kama zizi la ng'ombe
 
Hahahaha umemshika pabaya sana, hao ndiyo wakenya tunaowajua, watadanganya kila kitu, muhimu kwao waonekane wapo juu
Kweli mkuu.. hawa kiboko yao ni sisi kwakua tuna wajua vizuri, uki kuta Mkenya anabishana na Mnyarwanda una eza ukamwonea huruma Mnyarwanda. Nina furahi sana mnavyo wanyoshaga humu, ubishi kama huu nilikua naufanyaga face to face kipindi hiko ninasoma nao.. walikua wana kesha wakinitolea mipovu
 
Iliisha 1-1. Harry Kane alikomboa dakika za 80 huko. Uwanja ulikuwa umepakana na nyumba za ghorofa, watu wamesimama kwenye madirisha.
Kisha ile game ya Arsenal pia na some lower division team, ended 4-2, uwanja ulikuwa kama zizi la ng'ombe
umenyoroshwa videadly.
 
Kweli mkuu.. hawa kiboko yao ni sisi kwakua tuna wajua vizuri, uki kuta Mkenya anabishana na Mnyarwanda una eza ukamwonea huruma Mnyarwanda. Nina furahi sana mnavyo wanyoshaga humu, ubishi kama huu nilikua naufanyaga face to face kipindi hiko ninasoma nao.. walikua wana kesha wakinitolea mipovu
comrade nimekuvulia kofia kwa kunyorosha hiyo mugger. keep up the good work.
 
Back
Top Bottom