KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Vya nairobi ni dwaf sana na vichacheMijumba ya ghorofa 10 CBD? Hebu weka Ariel view nikuchekelee.
Vya nairobi ni dwaf sana na vichacheMijumba ya ghorofa 10 CBD? Hebu weka Ariel view nikuchekelee.
magorofa yalioko kariakoo pekeake ni mengi kuliko nairobi yote😀😀Mijumba ya ghorofa 10 CBD? Hebu weka Ariel view nikuchekelee.
hahaha ina maana hiyo ni moja kati ya football ground kwa ajiri ya premier league yao?....these guys are not serious?. smh
You guys are not exposed. Am sure you have never watched England's Championship Games, Carling Cup Matches or F.A Games. Last month there were several games I think zilikua ni za Carling Cup na zilikuwa aired... Arsenal lost 4-2 to some minor team and Tottenham drew 1-1 with also a minor team..... Those Stadiums were horrible to say the least!!! Coming from a Developed Country 'England'.They actually wanted to host CHAN![]()
![]()
![]()
![]()
These kind of stadiums can't even fit for first National league
Tafuta habari mbaya hutapata kwa chuma magufuli wasikie dunia wanavokwambieniHawa watuu wanakata opposition leader na mapanga bila huruma...nlidhani ni wasafi kama pamba kumbe ziii...
This era ata serikali yao zishindwe kuripoti....habari zitafika nje ya TZ
Sasa tuambie huu ndio uwanja munachezea ligi kuu nairobi ujue sometimes hua najiuliza hio GDP munayolilia kila siku inasaidia nnYou guys are not exposed. Am sure you have never watched England's Championship Games, Carling Cup Matches or F.A Games. Last month there were several games I think zilikua ni za Carling Cup na zilikuwa aired... Arsenal lost 4-2 to some minor team and Tottenham drew 1-1 with also a minor team..... Those Stadiums were horrible to say the least!!! Coming from a Developed Country 'England'.
The one which Arsenal played on ilikuwa na patches nyingi sana na ni kama io kiwanja ilikuwa imetoka kupakwa majivu a day before the game.
The Tottenham one haikuwa na lights za kutosha, na kiwanja ilikuwa imepakana na nyumba za ghorofa, saa zingine camera inachukua watu wamesimama kwa madirisha yao wanaangalia game.
So I don't understand what the fuss here is all about. You all need to get exposure.
Tanzania yote haifiki nairobi kwa maghorofa....magorofa yalioko kariakoo pekeake ni mengi kuliko nairobi yote😀😀
Hehhee masikini ya Mungu😀😀😀😀Tanzania yote haifiki nairobi kwa maghorofa....
unajua nairobi kuna apartments ngapi kijana mdogo
So because in England homosexuality is allowed, it is Ok for us?. Because Europe there is racism is Ok for us to practice racism?.You guys are not exposed. Am sure you have never watched England's Championship Games, Carling Cup Matches or F.A Games. Last month there were several games I think zilikua ni za Carling Cup na zilikuwa aired... Arsenal lost 4-2 to some minor team and Tottenham drew 1-1 with also a minor team..... Those Stadiums were horrible to say the least!!! Coming from a Developed Country 'England'.
The one which Arsenal played on ilikuwa na patches nyingi sana na ni kama io kiwanja ilikuwa imetoka kupakwa majivu a day before the game.
The Tottenham one haikuwa na lights za kutosha, na kiwanja ilikuwa imepakana na nyumba za ghorofa, saa zingine camera inachukua watu wamesimama kwa madirisha yao wanaangalia game.
So I don't understand what the fuss here is all about. You all need to get exposure.
huu uwanja ni mzuri sana kwa nchi kama ya Kenya. Kenya ni 3rd World Country, tz ni 4th World.Sasa tuambie huu ndio uwanja munachezea ligi kuu nairobi ujue sometimes hua najiuliza hio GDP munayolilia kila siku inasaidia nn
View attachment 700738
Asante sana leo nimeamini muko nyuma tena munazidi kwenda nyuma 😀😀😀😀huu uwanja ni mzuri sana kwa nchi kama ya Kenya. Kenya ni 3rd World Country, tz ni 4th World.
kuna viwanja vingi vibaya Europe zaidi ya hiyo. No one is perfect.
This week, Afc Leopards ya Kenya ilikuwa inacheza na some African country, (Africa Champions League preliminaries).... I wish mungeona hio kiwanja Afc Leopards walikuwa hosted.
Tanzania yote haifiki nairobi kwa maghorofa....
unajua nairobi kuna apartments ngapi kijana mdogo
😀😀😀 ni nani amefanya hii study?![]()
![]()
Kama ulikua hujui dar kwa nyumba tu ni Nairobi yako na kampala combined
Tunaweza kuwa tuko nyuma ndio hatujifichi unlike you ambao kila kitu munakana na kujifanya muko perfect.Asante sana leo nimeamini muko nyuma tena munazidi kwenda nyuma 😀😀😀😀
source?![]()
![]()
Kama ulikua hujui dar kwa nyumba tu ni Nairobi yako na kampala combined
F.A Cup inahusisha mpaka timu za madaraja ya 4 kwa hiyo uwanja unaeza usiwe mzuri kutokana na hadhi ya timu, ila mm sijaona ulio fikia kiwango kibovu kma huo wenu wa premier league. Hakuna team kwenye championship ambayo inatumia uwanja mbovu kama huo wenu kama una bisha nitajie hiyo team mimi nitakuletea evidenceYou guys are not exposed. Am sure you have never watched England's Championship Games, Carling Cup Matches or F.A Games. Last month there were several games I think zilikua ni za Carling Cup na zilikuwa aired... Arsenal lost 4-2 to some minor team and Tottenham drew 1-1 with also a minor team..... Those Stadiums were horrible to say the least!!! Coming from a Developed Country 'England'.