Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sky Villas, Dar es salaam
74171083.jpg
74171082 (1).jpg
74171087.jpg
74171090.jpg
 
Annael you are doing an amazing job comrade.

i would like to show my appreciation by sending you some money to top up your data bundle.

if you don't mind,plz send me your mobile phone number via pm.
sitanii,nipo serious.
Dar nitakutumia kesho aise. Hawa jamaa tukikaa kimya wanaona Dar kama ipo nyuma. Ngoja tuwape mambo kisha wakae kimya. Wenyewe ni Barabara tu. Lakini 2019 tutaanza kuwakimbiza kwenye barabara.
 
watu wa Nairobi mbona siwaoni?...mmejificha wapi?.

picha za flyovers na magorofa ya kenyatta avenue zimeisha?.
 
Dar nitakutumia kesho aise. Hawa jamaa tukikaa kimya wanaona Dar kama ipo nyuma. Ngoja tuwape mambo kisha wakae kimya. Wenyewe ni Barabara tu. Lakini 2019 tutaanza kuwakimbiza kwenye barabara.
Haina noma baab....wanyosheeeee
 
kama kawaida yao,wakirudi wataanza kurudia kuweka picha za magorofa yaleyale ya kenyatta avenue,moi avenue na koinange street.

wakimaliza hapo,watarudia kuweka picha za flyovers na baadhi ya apartment.

siku hizi hawapendi kuweka picha za thika highway kwasababu imeanza kuchakaa kutokana na ubora duni wa barabara hiyo.
 
Ngoja tuwasubiri waibuke tena tuwachape. Naziweka nondo zangu mafichoni wakiingia tu tunawagonga. Hawa jamaa waoga sana.
wanabadilishana shift,nahisi mtu waliyempanga kuingia night shift kagoma kuja kazini.kaogopa kukutana na kichapo
 
Comparing Nairobi to Dar is a big joke! I am astounded by the delusional bunch who are insisting of comparing the two. It is laughable!

33407687281_279a048158_b.jpg
 
Comparing Nairobi to Dar is a big joke! I am astounded by the delusional bunch who are insisting of comparing the two. It is laughable!

33407687281_279a048158_b.jpg
Ahahhahaa kwenye majengo ya 20 floor mumekimbia moja moja mumekimbia dar utaielewa hata ukijifanya kichwa ngumu utelewa na on going projects haikamatiki the fastest growing city on planet
 
Back
Top Bottom