Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nairobi
Kweli?? Kama nini?? Mbona Annael imekataa kukubali haya mambo yaishe?? Hebu viweke hapa tuone! Usiniambie Bahari tafadhali!! HmmEdwardo. Tubadirishe battle maana hapa tutaweka mpaka miaka itaisha mingi sana. Ambacho kipo Nairobi Dar hakipo is almost nothing. Lakini Dar vipo vingi sana Nai hakuna.
Mbona nilikuwa sijasikia Golfing in Tanzania??? Hivi hii imejengwa lini??
Nairobi is the most habitable city in Africa, coolest and beautiful
![]()
![]()
![]()