Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unadhani a good city is all about better buildings pekee, hohoho go ask the analysts.
Mpaka hapo umekubali Dar inaizidi Nairobi kwa Building. Twende kwenye issue nyingine sasa. Sasa tuanze business zinazofanyika Nairobi vs business zinazofanyika Dar. Twende kazi.
 
List of cities with the most skyscrapers - Wikipedia
Nyie wakenya angalieni apa dsm ni ya ngap na nyie ni wa ngap
Af apo wameexclude TPA tower mana lilikuwa halijawa oppenned
Bado kuna maghorofa mawili ya mzizima pamoja maghorofa mawili tena ya MNF ambayo yanaisha soon
Nabado maghorofa kibao yako under construction
Hii ndo list ya miji mikubwaaaa
Kaeni pemben na minara yenu
Na kama sisi tungeweka minara tungekuwa tuna skyscrapers kibao
 
Dar is not a regional hub, wacha kucompare kitu haiko, most of the companies in Dar are governed from Nairobi.
 
Skycrappers sio issue, you should be talking of something more sensible like this Global city - Wikipedia
 
DAR ES SALAAM

dar-1.jpg
 
Dar is not a regional hub, wacha kucompare kitu haiko, most of the companies in Dar are governed from Nairobi.
Unamaanisha nini sasa? Unachekesha sana wewe. I think you just know dar es salaam from your lost friends. Wewe twende battle kwa battle ili uijue Dar. Ngoja nikupatie mfano hapa:-
1. Marine transport Business in Dar
2. Beach tourism business in Dar
3. Port Business in Dar
4. Fish Market in Dar
5. Big Market in East and Central Africa (Kariakoo) in Dar
6. ICT Hub for East and Central Africa in Dar
8. Transportation Hub for East and central Africa in Dar
9. Many Telecom Company in east and central Africa in Dar
10. Easy of Food availability in Dar
11. Mineral Business in Dar
12. Music industry for east and Central Africa in Dar
13. African Movie for east and Central Africa in Dar
14. Luxury, Enjoyment City for east and Central Africa is Dar

Na mengine mengi sana. Hayo nimekueleza machache tu. Wewe unasema Nairobi ni Hub kwa lipi?
 
nilikua nadhani utataja companies, but let me give you examples... General Motors East Africa is located in Nairobi. Major supply inatoka huku. All regional decisions zinatoka huku. We still command the stakes and that happens to hundreds of other companies.
 
Hiyo Ranking ya Alpha, Beta, Gamma nk zime kuwa rays hizo. Such ranking is unprofessional. Ni watu wa Nairobi tu wanaweza rank hivyo.
Go tell that to the educated analyst, sisi hapa hatuwezi kusaidia.
 
African Minerals and Geosciences Centre (in Dar es salaam)
SAM_5416.JPG
 
nilikua nadhani utataja companies, but let me give you examples... General Motors East Africa is located in Nairobi. Major supply inatoka huku. All regional decisions zinatoka huku. We still command the stakes and that happens to hundreds of other companies.
I told you to battle about business. Sasa unaanza kulia lia. Hizo company za motor hata hapa Tanzania kuna company za kutengeneza magari.
slider16.jpg

Home » Simba Motors
Gallery » Simba Motors

Physical Address:
Simba Motors (T) Limited
Plot 31/32 Nyerere Road,
Dar es Salaam, Tanzania

Contact Us
P.O Box 40350
Dar es Salaam
Tanzania
Tel.: +255 757 202 202
Email: info@simbamotors.co.tz
 
Back
Top Bottom