Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U have a point...bt hicho ulichosema ndio kilikua kinaenda kutokea wakat wa awamu ya nne upo kwel kabsa..bt awamu hii ya magu washaliona hilo ndio maana sasa tunawekana sawa hayo mambo yasijiendeleze.
Tz when we were in socialism tulijifunza inclusive economy..dats y tunakomaa kupinga wachache kujinufaisha kuliko walio wengi..
And dat is what magufuli does...
 
Hiyo konyagi nayo ni cheap liquor kabisaa...........it messed me up in ushago during Christmas.......nikiiangalia tu hivi nahisi kichefuchefu
unakichwa chepesi...achana na konyagi. achia konyagi watu wenye vichwa vigumu, wewe huiwezi.

next time ukinywa konyagi ukalewa watoto wa kihuni watakupasulia yai.[emoji23] [emoji23]
 
Niliwah kwenda kwenye sherehe flan ilikua harusi,tukapiga bia sana bia zikaisha jamaa wakasema bia zimeisha ila kuna tusker mtakunywa?hahaha ndio mara ya kwanza kunywa tusker...baada I beer kuisha
Wewe lia tu, Tusker is one of the biggest beer brands in Africa with companies in Uganda Tanzania South sudan and Kenya.
It's sold all over Africa and US and UK. I'll give you an example, UK largest and second largest retailers or supermarket chains, Tesco and Sainsbury sell Tusker.
And even if you hate Tusker, it probably owns your best beer. Tusker (EABL) owns 51% stake in Serengeti beer.
Don't play with kenyan businesses fyi...ikifika biashara mtuachie Mjiokoe na BRT.
 
kusema kweli maisha ya apartment mimi siwezi, mnakuwa mnaishi kama wanafunzi wa bording wa sekondari. Privacy kidogo sana pia jirani akiwa anapenda kupiga kelele ni shida.

lakini hizi hafadhali.



If you come to Nairobi and want privacy...and own compound there is vast land along ngong area.....kitengela ...kiserian....machakos area.....and kiambu area or even Thika.....eastern bypass area pia kuna area kama utawala na Ruai in embakasi east.....ama if you are super rich you can rent or buy in Karen.....gigiri near UN.....muthaiga.....spring valley.....runda.....or even nyari......ama uendee town villas in south B and c....langata or buruburu and Donholm......for a person with an income of lets say 60000 ksh....afadhali utafute tu apartment roho safi ya around 15 to 20k......u save pesa ujengee ushago.....that is if you are from western Kenya or coast region.....most kikuyus and kambas have kiambu and machakos as their ancestral land so they don't mind building their abodes closer to the city
 
Hiyo konyagi nayo ni cheap liquor kabisaa...........it messed me up in ushago during Christmas.......nikiiangalia tu hivi nahisi kichefuchefu
Hiyo unatakiwa unywe ukiwa umeshiba anko....mchemsho umekula maji ya kutosha nyama nyama za kutosha ndio unakunywa hiyo taratibuu..
Saa nyie wakenya na njaa yenu mnafakamia tuu bila kujua...mwisho wa siku mnazima..mnaanza lawama.
NB:VINYWAJI /VILEO VINGINE NI HATARI KWA WATU WENYE NJAA..
 
Kenyan companies really are something.

The Equity Bank Kenya Limited's parent company, the Equity Group Holdings Limited , has a customer base in excess of 9.2 million in the six East African countries that it serves, making it the largest commercial bank on the African continent, by customer numbers.

Equity Bank Kenya Limited - Wikipedia
 


Tusker has applied the concept of focus and differentiation meticulously...that's why these other east African brands are child's play.

Who doesn't remember the famous tusker project fame.....Hahaha.Plans are underway to bring it back and include west African country in order to set foot in the juicy west African niche ........
 


hiyo konyagi yenu kaeni nayo.....Hahaha.I don't want to even look at it
 
Badala ya kulia sana, tumia figures.
All those claims you are making luckily are measurable through what we call tue HDI. Human Development Index.
Now, Tanzania's HDI is about 0.4 while Kenya's has surpassed the 0.5 mark.
This is the reason kenya is classified as a middle Human development category whereas tz is at the low human development category.

If you have proof of disclaim, lay evidences but those are the facts. If only you were man enough to admit. Either way, admit or not, it won't change the fact.
 
with no paints😀😀
Hahaha...hakuna mtu mjinga hapa kukuliko. Ulikuwa unategemea kuona 'dream houses' zile za Dar sivyo? Hizo zinapatikana Dar pekee si Nairobi. Ile Uthiru ulikua unasema ni slum ndio hiyo. Personally ntakutaftia picha za githurai pia nikuletee...Nairobi si level ya hicho kijiji chenu mnaita city
 
Well said...arguing with these morons is one hell of a job. Yani hata facts wanapinga. They argue with a lot of emotions and most of the time they can't even support their arguments.Wao bora wameongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…