El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
hilo ni povu tu la hasira.![]()
![]()
![]()
![]()
umehangaisha wazungu wapose na konyagi.....eeww
hilo ni povu tu la hasira.![]()
![]()
![]()
![]()
hilo povu tulishalizoea.EABL used to own TBL until 2011 to 2013 when it clashed with SAB MILLERS and agreed to sell its stake to SAB who now owns TBL.
EABL still controls 51pc ownership of serengeti.
Know your owners

acha wazungu wafurahie konyagi. east africa's best spirit.umehangaisha wazungu wapose na konyagi.....eeww
The only tanzanian product hapo ni konyangi ama sijui inaitwaje.made in tanzania, please drink responsibly.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
made in tanzania, please drink responsibly.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
made in tanzania, please drink responsibly.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
daah! nilikua nasikia tetesi tu kuhusu kibera,sasa nikasema ngoja nikienda mombasa safari hii nitaunganisha mpaka nairobi nikajionee hiyo kibera, aisee nimefika kule hata nusu saa cjaimaliza nikamwambia mwezangu tugeuze huku sio kabisa,, ni pachafu saana watu wanaishi maisha magumu sana pale, yoteyote niliduwaa tu pale nilipopita relini, jamaa akaniambia angalia usikanyage mifuko hiyo. pita juu ya reli, nikamuuliza una maana gani, akaniambia hivyo ni vyoo vya watu, wanaita flying toilet, hajamaliza kuongea tukasikia paah, kitu kimeachiwa huko juu kinapepea kwenye rambo. halafu nawashangaa walivyo na nyodo sasa huku mitandaoni, 80% wanatokea huko kibera.
Hio ndio maana hakuna pesa inaingia Tanzania. Fact is, We own you na mko hapa kujicompare na sisi.hilo povu tulishalizoea.
punguzeni hasira.acheni kisu cha ngariba kifanye kazi yake.![]()
![]()
![]()
![]()
wewe endelea tu kutoa povu.The only tanzanian product hapo ni konyangi ama sijui inaitwaje.
Hendricks Gin ni ya Scotland. Tusker ni ya kenya serengeti ni ya kenya kilimanjaro ni ya SAB lol

Hampendi maisha ya apartment ndo maana Dar kila corner kuna changaduo aka dream house?
povu hoyeeeeHio ndio maana hakuna pesa inaingia Tanzania. Fact is, We own you na mko hapa kujicompare na sisi.
Alafu tukisema LDC mnadhania ni kusema tu. Figures!

na azam juice ni ya kenya, na mo juice ni ya kenya,. sasa mtakuaje na bia inaitwa serengeti ambayo ni mbuga yetu ya tz, au mnatutangazia utalii, na mlivo na wivu msingethubutu kuiita serengeti, hizo bia zote ulizotaja ni za tzThe only tanzanian product hapo ni konyangi ama sijui inaitwaje.
Hendricks Gin ni ya Scotland. Tusker ni ya kenya serengeti ni ya kenya kilimanjaro ni ya SAB lol
wewe endelea tu kutoa povu.
povu lako linadhihirisha kuwa kisu cha ngariba kimefika kwenye mfupa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pia hio 80% uliona kwa macho ama?daah! nilikua nasikia tetesi tu kuhusu kibera,sasa nikasema ngoja nikienda mombasa safari hii nitaunganisha mpaka nairobi nikajionee hiyo kibera, aisee nimefika kule hata nusu saa cjaimaliza nikamwambia mwezangu tugeuze huku sio kabisa,, ni pachafu saana watu wanaishi maisha magumu sana pale, yoteyote niliduwaa tu pale nilipopita relini, jamaa akaniambia angalia usikanyage mifuko hiyo. pita juu ya reli, nikamuuliza una maana gani, akaniambia hivyo ni vyoo vya watu, wanaita flying toilet, hajamaliza kuongea tukasikia paah, kitu kimeachiwa huko juu kinapepea kwenye rambo. halafu nawashangaa walivyo na nyodo sasa huku mitandaoni, 80% wanatokea huko kibera.
If you were wise you would do your researchna azam juice ni ya kenya, na mo juice ni ya kenya,. sasa mtakuaje na bia inaitwa serengeti ambayo ni mbuga yetu ya tz, au mnatutangazia utalii, na mlivo na wivu msingethubutu kuiita serengeti, hizo bia zote ulizotaja ni za tz
Pia hio 80% uliona kwa macho ama?
With minor psychological observation you're just another phony.
povu povu.If you were wise you would do your research
