Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is Zanzibar part of kenya? Halafu Zanzibar iko na brt? coz one of the pictures has a brt route passing through it
where is brt there haya nioneshe😀😀😀

nafkiri unajua znz ni mji wakizaman sana yale majengo hayaruhusiwi kubomolewa kwasababu ni kivutio cha utalii
 
Kenya kamwe haiwezi kuizidi maendeleo Tanzania, akili zenu zimejazwa ujinga na sifa za kijinga kudhani kwamba mpo juu ya Tanzania kimaendeleo, sema ni maendeleo gani ambayo Kenya imeipita Tanzania?.

Tanzania inasisitiza maendeleo ambayo ni people centered, kama vile upatikanaji wa chakula, maji safi na salama, makazi bora, huduma za afya, ajira kwa wananchi, security, elimu na haki sawa kwa watu wote, hivi ndivyo tunavyoita maendeleo, na karibu vingi kama sio vyote kati ya hivyo, Tanzania ipo juu ya Kenya, wewe hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania ni yapi?, tafadhali orodhesha ili utuambie kwenu mnaposema maendeleo mna maanisha nini?

Kuhusu hizo picho, hiyo ya chini pekee ndiyo inaonyesha land mark ya Tanzania, kitu cha kushangaza ni kwamba, kwanini mnaleta picha iliyopigwa toka mbali sana angani, utazionaje nyumba na mazingira ili kujua kama ni slums, hapo ni Magomeni, kwa taarifa yako Magomeni is one among district which is catching up very fast, soon will be the same as you CBD, lete picha za horizontal ujionee Magomeni ilivyo.
 
jaman leo siku ya bata tutaonana baadaye😀😀

collo karibu bongo kuna starehe huku ww hujawah kuziskia kwenye maisha yako


kadoda plan yetu iko palepale ya kukutana wote humu tukutane jangwani sea breeze nafkiri kadoda ww ndio mwenyekiti so please arrange date na utufahamishe wote
 
Evidence kwamba hiyo ni Tanzania, I am sure must be in Kenya, we don't have such types of slums in a civilized country like Tanzania, you can only find them in uncivilized and failed countries only.


Lol....a country can't be a least developed country by mistake.....kubalini mko so underdeveloped muanze kuchapa kazi. ...consoling yourselves in jamii forum won't spare your impoverished country and towns
 


Lazma Darislum ibomoe hizo 1200 km sq of slum shack aka dreamhouses waanze kujenga mijengo ya kisasa
 
Lol....a country can't be a least developed country by mistake.....kubalini mko so underdeveloped muanze kuchapa kazi. ...consoling yourselves in jamii forum won't spare your impoverished country and towns
How can you dare to call a person poor if he feeds you?, it is ridicule to call yourselves ahead of Tanzania whike you are dying in thousands of hunger. Kenya is really a failed state, and will remain with that status for many years to come.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…