Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mnajua kukana kila kitu kama Judas Iscariot haikosi alikuwa mtanzania......mna tanzia tanzia tu
Dar hatuna hata kichuguu, achilia mbali hiyo milima inayoonekana hapo. Kenya msijisumbue kuleta picha za slums, Dar hakuna slums kabisa.
 
Usijisahau


manzese
 
hizo ni middle class estates za Dar slum and Tanzania in general.....kila mtu anapewa square ya kukita Swahili shack....aka dream house
Huwezi kukuta makazi ya aina hii Tanzania nzima, achilia mbali Dar, hata mikoani hakuna kitu kama hiki, hizi kama sio picha za Kenya, basi ni DRC, au Burundi.
 
wasema nairobi kuna estate.

yaani mtu anafurahia kupanga nyumba,sijui kuna tofauti na kulala sebuleni!!!lakini kiukweli hawa majirani hawafikiri sawa sawa.
Hatufikirii sawasawa ila tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Hatufikirii sawasawa ila miji yetu yamepangija vizuri tena yana umuhimu ukundaa kuliko hizo changaduo zenu. Hatufikirii sawasawa ila tuko na millionaires wengi kuwaliko. Sasa kati ya hawa watu wawili nani hafikirii sawasawa?
 
These are the dream houses of dear es salaam. Just look at how beautiful these dream houses look. Kama hizi ndio dream houses ndani ya Dar, kaeni tu na hiyo Dar yenu. Ichoboy na kadoda, kujeni hapa mtuambie nyumba zenu ni zipi kwenye hii picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…