Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This guys love kenyan news.. They can't wait for the next bad news....

hata ukitangazia majirani una mke mzuri,subiri siku aunguze mboga.

utaambiwa alikuwa akitinda nyusi akasahau jukumu la msingi ndani.
 
akili za kima hizi...hujawahi skia military power and influence?
 
Alafu utsikia eti dar kila mtu anamiliki nyumba. Hizo ni nyumba au changaduo? najua watataja kibera but kibera ni sehemu ngogo sana kwa Nairobi. Comparing Nairobi with dar is a waste of time

Unafikiri hatujui kuna slum zaidi ya moja Nairobi.
 
akili za kima hizi...hujawahi skia military power and influence?

sasa wewe kuku nini,mbona umetenganisha!!kwanini isiwe
military power infruence ila inakuwa and influence??

nguvu ya kijeshi na ushawishi,ni vitu haziiumani.sawa??
 
We ulitaka nn iwape uchumi mkubwa wakat wanaitumia resources vzr kuendeleza nchi??
70 percent angola wanaishi ktk umaskini....richest woman ana net worth zaidi ya 3 billion...danganya mwingine..sio mkenya bro
 
sasa wewe kuku nini,mbona umetenganisha!!kwanini isiwe
military power infruence ila inakuwa and influence??

nguvu ya kijeshi na ushawishi,ni vitu haziiumani.sawa??
military influence...pumbaff....yaani nikama nazungumza na mbuzi...jamaa mbona hushiki chochote...naongea na mti au?
 
70 percent angola wanaishi ktk umaskini....richest woman ana net worth zaidi ya 3 billion...danganya mwingine..sio mkenya bro
Mm nakwambia maisha wanauoishia angola wakenya hamuwezi kuyanusa hio ndio fact sasa jiletee link kua 70% ya angola wanaishi kwenye umskini nsubiria
 
Hebu tuletee hio link kua dar ni 9 na nairobi ni 40, am waitingπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Amechanganyikiwa anatapatapa kujunasua na aibu ya kuwa failed state, anatafuta kila njia hata za uongo ili kupunguza aibu ya failed state
 
gdp inatangazwa kivipi? pengine nikuulize sababu una akili za kima.... gdp inatangazwa quarterly...that is after evry 4 months
Heheh asante sana kwa kufika 80 jitahidi mupike vzr ifike 100πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ongezeni mkaa moto uwake vyema
 
Mm nakwambia maisha wanauoishia angola wakenya hamuwezi kuyanusa hio ndio fact sasa jiletee link kua 70% ya angola wanaishi kwenye umskini nsubiria
akili za chura hizi...angola haioni hata rwanda kwa maisha bora....
 
military influence...pumbaff....yaani nikama nazungumza na mbuzi...jamaa mbona hushiki chochote...naongea na mti au?

haya twende sasa mko na influence gani kijeshi hata kiraia inayowashinda hapo somalia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…