Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajuwa nyinyi wakenya ni washamba sana.

mara mnadanganya ati sasa mnafanya payment kwa bitcoin, haya sasa na wewe umekuja na upuuzi mwingine very miner.

anyway, explain more about that "tap and go", would like to know if there is any major differences from other mobile money payment system.

Mshamba ni wewe! Bitcoin iko sana hata a Kenyan version inatwa Nurucoin (Nurucoin.com) imeanza juzi. Google mpesa tap and go for more info!
 
Mshamba ni wewe! Bitcoin iko sana hata a Kenyan version inatwa Nurucoin (Nurucoin.com) imeanza juzi. Google mpesa tap and go for more info!

Hatujakataa kuwa haipo lakini walizonazo wanafanya kama investment na sio kununulia vitu dukani.

If you buy something at the market with bitcoin then you are a fool because it is like giving away your gold.
 
upload_2018-2-14_13-38-30.jpeg
 
bwege yule.
kuna assignment moja nimempa tangu jana usiku kuhusu kunitajia majina ya malls au supermarket za kenya zinazo accept bitcoin, mpaka leo kashindwa kuikamilisha.

wakenya wana uongo wa kishamba sana, mbaya zaidi wanajaribu kutudanganya hata sisi ambao kidogo tupo exposed na masuala mbalimbali ya kimataifa.

nasubiri arudi na hiyo mada yake ya bitcoin nimuulize maswali zaidi ili nipime uelewa wake kuhusu crypto currency.

anadhani ile ni sawa na huduma ya mpesa kupitia mtandao wa safaricom.
Lipa na mpesa is just a basic process.. just a mere paybill and there you go
 
these muggers and jobless goons apart from saying tz is an ldc, will never show you these photo.

this is dandora,just 12 km drive from their cbd. it is at this area where the largest dumpsite in kenya is found.

the bad thing is that, the dumpsite is surrounded by many residential houses .it's very dangerous to live next to such environment.


90f569a86735d3b715552f2b907cab73.jpg
68df30803690b7d222a8773e778d79c9.jpg
c6c219db786ad4164c62819c9d830122.jpg
65469046d428a8ef24023579ae309ff6.jpg
ae989b56c9d251fe99864f289551e47d.jpg
ce9635ac4f61085a6c9bd3f865df7d30.jpg
aa7d5ed9d8056e1dd7d8ae1147fb5712.jpg
5a53e13c354acde66f1e9461b0239079.jpg
23a739eabc6659f68c1ac7ea7519343c.jpg
114b428ab407036b9a868b86d9e0f459.jpg
a8b3f0d2d3cfab6d4a692b1535e597c0.jpg
0c60806501249d9637bc6dd01eb55b1b.jpg
4eb9e2e5f7ec60e1d4ecb64fc8eb0202.jpg
260011f6ee1ec53bd8185a1dc14ee830.jpg

acha nikuongezee hii
trend4-8.jpg
 
dar es salaam view in few years to come.

this is going to be our lovely view that we will taking from the south-east side of indian ocean.we are heading there, God willing. say Amen or inshallah.
48ef05b575eed1b9973e74af4975e632.jpg
I HOPE IT COMES SOONER THAN LATER. we want such at the east too man
 
Back
Top Bottom