El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
hujajibu swali langu kuhusu bitcoin.
it's a faceless intangible financial transaction.......go to the malls it's very much used....oh Kenyan malls that is in EA
hujajibu swali langu kuhusu bitcoin.
dandora dumpsite has nothing to compare with in terms of size, 30 acres is not a joke. serious shit right there.
halafu kumbe wale wakenya masikini dandora dumpsite ndio mkombozi wao, huitumia kuokoteza vitu.smh
![]()
![]()
wewe mbona unakuwa muongo, kwa maana hiyo nikienda kwenye supermarket za kenya naweza fanya malipo kwa crypto currency (bitcoins)?.it's a faceless intangible financial transaction.......go to the malls it's very much used....oh Kenyan malls that is in EA
punguza jazba...punguza emotion. porojo.kuna dumpsite kwa vichochoro vyote vya dar ....hata hapo mwananyamala kwa kopa na tandale kwa mtogole inanuka nyaa.....probability 95%

Lipa na mpesa ni jambo geni hapo kwenu...
huku imekuwa since 2011
umekurupuka kijana.
nilikuwa nazungumzia malipo ya mpesa kwa pizza hut pekee. pizza hut ndio wame introduce hiyo kitu hivi karibuni.
but kwa huduma zingine, malipo kwa mpesa, tigopesa au airtel money yapo tangu siku nyingi sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
unajuwa nyinyi wakenya ni washamba sana.Fikeni hapa kwanza... M-pesa Tap-and-Go payment service
![]()
![]()
utafanya muggers warudi google kutafuta picha za 2012 ili wa-justify hoja zao.Dump sites za Tz ziko hivi, zimejengwa kisasa na zitajengwa nchi nzima
![]()
![]()

Nairobi kiĺa kona ni dumpsite. Every street of Nairobi is a dumpsite. Dar es salaam hatujafikia hii level. Uchafu Nairobi nï sehemu ya maishana Ile dumpsite ya mbagala yenye diamond alishoot his first video. ...si aliimba juu ya takataka na kinyesi
imagine hiyo ni mitaa jirani na CBD yao.smhNairobi kiĺa kona ni dumpsite. Every street of Nairobi is a dumpsite. Dar es salaam hatujafikia hii level. Uchafu Nairobi nï sehemu ya maishaView attachment 695319 View attachment 695320 View attachment 695321
Nairobi its more than a slum. Ni eneo wanapoishi nguruwe. Tena wale nguruwe wa porini.Dar is slum View attachment 695306
uchafu kila kona.Nairobi its more than a slum. Ni eneo wanapoishi nguruwe. Tena wale nguruwe wa porini.View attachment 695327 View attachment 695328 View attachment 695329 View attachment 695330 View attachment 695331 View attachment 695332 View attachment 695334
sawa, sasa tutazame ni cbd ya mji upi kati ya nairobi na dar ipo jirani na dumpsite.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
This is Eastleigh, the place has greatly changed.. Check current updatesNairobi its more than a slum. Ni eneo wanapoishi nguruwe. Tena wale nguruwe wa porini.View attachment 695327 View attachment 695328 View attachment 695329 View attachment 695330 View attachment 695331 View attachment 695332 View attachment 695334