Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya tuambie hapo ni maeneo gani dar???
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Amechanganyikiwa huyo, anagusa kila sehemu anakuta ni moto tu, Tanzania hoyeeeee
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dunia nzima haitambui kama dar kuna slums wanaitambua kenya sasa wanataka kuficha aibu kutafuta maeneo hayahusiani na dar walazmishe iwe dar
Kwa ufupi hawana maeneo mengi ya kuishambulia Tanzania, ukiona watu wanashikilia ombaomba kama ni issue ujue wameishiwa hao.
 
Kwa ufupi hawana maeneo mengi ya kuishambulia Tanzania, ukiona watu wanashikilia ombaomba kama ni issue ujue wameishiwa hao.
naona siku hizi ule wimbo wao wa "tz ni ldc" umeanza kuchuja.

ila mimi napenda waendelee kuimba, wakija kushtuka itakuwa ni too late.

tz ya magufuli mambo ni fire...tupo katika speed ya jet kuyafikia maendeleo. hapa kazi tu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
tz ni LDC...ama ni siri?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haya tuambie hapo ni maeneo gani dar???
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
picha yenyewe sijui imepigwa mwaka 1994 huko [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…