Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi compare Nairobi na cities za East Africa.
Nyinyi endeleeni kujenga empty buildings tu,mwenye aliwadanganya ivo ndivyo mtakavyo vutia wawekezaji ameshakufa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nikweli kabisa KENYA mkifanikiwa ROHO INAUMA ILE MBAYAAAA, Nikiskia Slums zimeongezeka, KIU JIJINI, Political Unstable, Surviving for Dog Milk, Bei ya Unga imepanda, Ukame na Njaa ya kutupwa NAFURAHI SAAANA
jitayarishe bas kupatwa na heart attack....kenya inapaa roho itakuuma ufeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I repeat without SA, Nigeria, Egypt and Kenya, there is no AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€endleeni kukasirika lakini ukweli ndio huo...
 
Mnakua mwendo wa kinyonga na iyo tiny economy yenu hujishtukii tu Hamna round
tiny GDPπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kenya GDP 75B
Tz GDP-47B
neno tiny skuizi limebadilisha maana yake au?
 
dah......hizo bus za kikenya ni haibu tupu ni chafu hazivutii
 
jitayarishe bas kupatwa na heart attack....kenya inapaa roho itakuuma ufeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kenya herself is a heart Attack, Kanchi kadogo lakini mnashindwa kukaendeleza Je mngekua na Nchi kubwa kama Tz ingekuaje?
 
Gdp zao pop zao na gdp per capital wametuach mbali sana, kwanza wapo wachache kwahyo uchumi wao ni mkubwa
GDP per capita zao ziko juu sababu ya population ndogo...hakuna sababu nyingine....hizo ni nchi hata watu hawajafika 5 million...wangekuwa 45 million sasa ndio ungejionea mazingaombwe ila hakuna lolote hapo...
 
Kenya herself is a heart Attack, Kanchi kadogo lakini mnashindwa kukaendeleza Je mngekua na Nchi kubwa kama Tz ingekuaje?
sasa tuko mbele yenu tayari we una sema nn?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tumewabana koo tuna vutia investments zote...tuna uchumi mkubwa kuwa shinda licha ya luwa kanchi kadogo... nchi kubwa maskini wa kutupwa LDCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ bure kabisa
 
I repeat without SA, Nigeria, Egypt and Kenya, there is no AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€endleeni kukasirika lakini ukweli ndio huo...

[emoji4][emoji4][emoji4]hivi umetumia kigezo gani kupanga foleni moja na south,nigeria na egypt???

maana hao wote gdp zao ni zaidi ya 150b wakati nyie mko na 60???

buda wakenya mna akili za namna gani???
 
tiny GDPπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kenya GDP 75B
Tz GDP-47B
neno tiny skuizi limebadilisha maana yake au?
Jibu ni rahisi sana kama per capital yenu ni 1400$ unawezaje sema commulative gdp ni$ 75bln ?????
 
[emoji4][emoji4][emoji4]hivi umetumia kigezo gani kupanga foleni moja na south,nigeria na egypt???

maana hao wote gdp zao ni zaidi ya 150b wakati nyie mko na 60???

buda wakenya mna akili za namna gani???
Lagos, Johannesburg, Cairo, Nairobi... Ever wondered which cities in Africa are the richest?

Well, here's how they rank;
https://www.facebook.com/video.php?v=1440717599311108pole sana maskini wa LDC...kenya sio level yao
 
Wakenya hivi mathare ,kibera ,kawangware na korogocho ni maeneo yaliyo pakana au yako mbalimbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…