Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Afu wewe wafanya nini? si watumia matusi?. kwenye msafara wa mamba kenge wamo.
 
crime doesn't pay....kukosa kwenyu ajira isiwe excuse ya kufanya ukora. copper inawahusu.
 
By virtue of having a bigger area in square kilometers, Dar definitely has more roads. unfortunately, dar roads are in pathetic condition hadi hata mnaogopa kuzionesha hapa. The point is that Nairobi has superior roads compared to your capital.
Dar ina barabara kubwa nne hizo nne ni Dual Carriageway. Nazo ni Mandela Road(Sam Nujoma),Nyerere(Bibi Titi,Ali Mwinyi), Morogoro Road,Kawawa Road.
Fupi hapo ni Kawawa ina kama 10km hivi, hio Nyerere ina kama 40km(airport to tegeta),Morogoro road ina kama 20km na Mandela nayo kama 20km hivi. Hizi dual carriageway ndio zinakufikisha popote utakapo around Dar.
 
Hali Leo jijini Dar ni ya Kuvutia, Kamvua na Jua kidogo vipi kwa Wenzangu Wa Nairobbery naskia bado kuna "KIU JIJINI"[emoji23][emoji23][emoji23]

sasa unafananisha weather ya Nairobi na Dar...wacha ujinga bana...
 
Mi nnavyofaham et Hamna mvua mwaka Wa 7 huu kweli au?
aliyekudanganya mvua hakuna miaka 7 ni nani?...shida kubwa ni population explosion plus mvua ambayo si ya kutosha kujaza dam zinazoleta maji jijini...weather ya Nairobi na Addis Ababa huwezi fananisha na mji wowote Africa...hakuna joto kali Nairobi hata kuwe na ukame...by the way, one of the reasons why Tanzania is behind in terms of development may be your choice to make Dar, a hot, coastal city, your capital city....juzi tu ndio mumeamua kuhamisha Dodoma...the truth is, hot cities promote laziness and slow economic growth...
this is late last year in Nairobi...it even caused floods...Long rains are expcted to start in March 2018...hii mvua itamaliza hio water shortage unaskia

A Nairobi photographer captures the “beauty in the mayhem” of Kenya’s rainy season
 
Mbona Dodoma ni kavu na inapata mvua chache sana lakini kuna maji ya Kutosha mwaka mzima. Au wilayani Nairobbery hamna technology ya kutafuta maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…