kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
hakuna anayependa wakenya wawe blocked....this thread wouldn't be active/popular if it wasnt for the participation of kenyans.Kazi yenu ni kublock wakenya hapa kwani....
kama hamtaki wakenya hapa ondoeni kenyan section basi haraka
wakenya wako hapa juu ni section waliotengewa...
Ni bora muiondoe then tutoke wote.
tatizo lenu ni lugha chafu na matusi hasa pale mjadala unapokuwa umewazidi nguvu. huwa mna-comment kwa emotions sana na kushindwa kuzuia jazba.
policy za jf zipo wazi...jf doesn't entertain abusive language.
collo ni mmoja ya wakenya wenye lugha chafu sana akifatiwa na yule kijana wa kimombasa. binafsi nimewaonya sana lakini hawakuwahi kunisikia.
