tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Fala iyo pia ni Photoshop?na hii je😀😀😀😀😀😀
![]()
Wazae hunibambahahaha....Kenya mpya bus
High import duties and limited supply of vehiclesMmmh kwann wanauziwa ghali ivyo? Iyo vits used uku tz ni $5000 sasa iyo $3800 ni mpya au
Siko hapa kukufunzawe unainaje😀😀😀😀😀😀😀
PovuSiko hapa kukufunza
SGR gani ya Ethiopia inakaa ivo...😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Nilkua nataka kumjibu lakini nkaona tu ujinga mwingine ni wa kuzaliwa niachane tu nayeSGR gani ya Ethiopia inakaa ivo...
Unatuonesha Tram aki
Kwani post yangu au ya mkenya mwenzioNilkua nataka kumjibu lakini nkaona tu ujinga mwingine ni wa kuzaliwa niachane tu naye
Hatari huo mzigo...
unakaa kuwa na umbea mwingi sana. makinikaNaskia kenya kumenuka amani hakuna tena
Povu lote la nn bro😀😀😀😀unakaa kuwa na umbea mwingi sana. makinika
hautapata mKenya akipoteza wakati kutaka kujua ni nini inaendelea bongolalalandPovu lote la nn bro😀😀😀😀
Ukweli hamuupedi
Vumilia tu bro najua kisu kimegota mfupanihautapata mKenya akipoteza wakati kutaka kujua ni nini inaendelea bongolalaland