Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is building like 7 towers which will all be Africa's tallest towers...these guys are talking about Darasalam..my friends what the hell is a darasalama bana😀😀😀😀....mpaka top economies wameanza kubabaika
zikwapi bro 😀😀😀😀😀😀😀 leo nahamu kuona renders sana tu,
 
wacha jokes... if East Africa's largest and most advanced economy is a failed state, what is tanzania?😀😀😀😀
heheh munaishi kwenye nchi yenu kama wakimbizi
😀😀😀😀 naomba uendelee kutuonesha renders bro
 
wacha jokes... if East Africa's largest, most advanced economy and most developed country is a failed state, what is tanzania?😀😀😀😀
Hilo hupaswi kutuuliza sisi, waulize wale walio rank Kenya as the most advanced economy, lower middle income economy, hungriest country, top in pollice killings, most corrupt country, higher unemployment rate, na ndiyo hao waliosema Kenya is a failed state, hata sisi tusingependa kuwa na jirani ambaye ni failed state, lakini imetokea hatuwezi kuwafukuza, tumekubaliana na hali hiyo, ninyi lazima mkubaliane na huo ukweli.
 
FB_IMG_1508782566424.jpg
hizi hela za kwa kwngu uki na kama hizi tanzania unabeba kwa gunia
 
Wanasayasi wa geology kutoka china watua ngorongoro kusoma kuhusu miamba na wameahidi kutoa 15m usd kwa ajili ya kujenga kituo cha kisasa cha makumbusho cha kisayansi
88071522-AFDA-4303-95F9-BBFEF4285070.jpeg
793D0520-3985-4AFB-B7DE-1648C9F2306A.jpeg
D42F72BD-9670-4F22-AE91-3D79C5B91030.jpeg
 
Back
Top Bottom