Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanyama Leo yuko ngangari sana against Liverpool at Anfield pia kama sijakosea HSBC series inaendelea fungulia King'amuzi chako ujionee bendera ya Kenya ikepepea kati ya mataifa mengine makubwa huku huku nyinyi mkitulia vijiweni.
Alafu utasikia wanavyojigamba hapa eti "we have the biggest, most modern stadium in east Africa." That is a white elephant danganyikans. It hasn't propelled you to international arena in any sporting activity. By the way Tanzania inajulikana kwa mchezo gani internationally? At least Kenya inajulikana kwa riadha, cricket, women's volleyball, rugby and many more
 
duh, umeandika kwa uchungu sana.. basi samahani buda... sitorudia tena kuwatania wakenya kuhusu weusi wenyu usio wa kawaida.

never thought this issue could reach this far...i swear, i will never again make fun your darker skin.i'm sorry.
Narudia kwamba whether mimi ni mweusi kama lami sio hoja. I can PM you my photo to make your own judgement about how "dark" I am. But at least I told you my mind, stop double speak. Wewe ni mwafrika kama mimi na wengine wote hapa ndani. Sasa tukibaguana humu ndani wenyewe kwa wenyewe wazungu watafanya nini? Ndio maana nikasema hayo ni mawazo ya kijinga
 
Hehehe jana tbc kulikua na kipindi maalum kutoka kurugenzi ya mawasiliano ya Rais ikulu dah aisee ni fireeee kadogosa amedadavua kila kitu kuhusu hiyo sgr na progress zake amesema by June 2020 sgr kutoka Dar mpaka Dom itakamilika terminus zitakua za aina yake designs zimeshakamilika zipo kwenye pipeline.

Tafuta hiyo video YouTube kwenye kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu kama watakua wameiweka tayari watu wameze sumu haraka haraka huku.
Chocha tu.
 
Hata sifaham, nafkiri walianzia Dar
54d48bb207c2ce5596899d7eeedda0d4.jpg
Mnyamazishe huyo..haha
 
Alafu utasikia wanavyojihamba eti "we have the biggest, most modern stadium in east Africa." That is a white elephant danganyikans. It hasn't to international arena in any sporting activity. By the way Tanzania inajulikana kwa mchezo gani internationally? At least Kenya inajulikana kwa riadha, cricket, women's volleyball, rugby and many more
Mchezo wa kukurupuka na mipovu waachie Watanzania. Tuta tuna ndiyo wamebobea.
 
We umeona kuna msongamano Wa Magari hapo? Dar sio kama Nair robbery mpaka ngombe wanapita kwenye sehemu za Magari..
Hahahaha halafu hata mimi nashangaa kweli , yani wapi proper city unakuta ngombe wanazunguka zunguka labda india..
 
You danganyikans are so full of double speak and double standard. How many times have you castigated us Kenyans for not being patriotic Africans, that sisi ni watumwa wa wazungu na kwamba tunaabudu wazungu? Then how comes you are now not proud of the African skin? Mbona unamawazo ya utumwa? Mbona unafikiri kwamba kuwa na ngozi nyeusi ni laana? Mbona unashangaa kumwona mwafrika mwenzako akiwa na ngozi nyeusi? Je, wewe uko na white skin? Unamawazo ya kijinga sana tena sana. I thought ujamaa Iliwafundisha kupendana kama wafrika, na uafrika ni ngozi nyeusi. I was wrong

Wanaamini kuwa mweupe ni kuwa mrembo. Hapo Nairobi,Taveta Street kwa cosmetics ni watz hununua skin-lighteners kwa wingi hata kushinda Congolese! Wao husema,''Weusi huzaliwa nao,weupe hununuliwa dukani''! Very illiterate!
 
We umeona kuna msongamano Wa Magari hapo? Dar sio kama Nair robbery mpaka ngombe wanapita kwenye sehemu za Magari..
Kenya in East Africa is gradually becoming a very lucrative market for vehicles. Currently,the statistics indicate that there is a vehicle for every 30 Kenyans. With a bursting population of40 million plus,more than 10,000 vehicles are sold in Kenya annually.

In Tanzania , it is hard to put a stable number on the figures of the sales, owing to the fluctuating currency. However, there is a vehicle for every 47 people,quite a low vehicle to people ratio.
 
You danganyikans are so full of double speak and double standard. How many times have you castigated us Kenyans for not being patriotic Africans, that sisi ni watumwa wa wazungu na kwamba tunaabudu wazungu? Then how comes you are now not proud of the African skin? Mbona unamawazo ya utumwa? Mbona unafikiri kwamba kuwa na ngozi nyeusi ni laana? Mbona unashangaa kumwona mwafrika mwenzako akiwa na ngozi nyeusi? Je, wewe uko na white skin? Unamawazo ya kijinga sana tena sana. I thought ujamaa Iliwafundisha kupendana kama wafrika, na uafrika ni ngozi nyeusi. I was wrong
Povu lote hilo lanini
ulipaswa kupinga au kukubari Hayo maelezo ya nikweli au la!
 
Kenya in East Africa is gradually becoming a very lucrative market for vehicles. Currently,the statistics indicate that there is a vehicle for every 30 Kenyans. With a bursting population of40 million plus,more than 10,000 vehicles are sold in Kenya annually.

In Tanzania , it is hard to put a stable number on the figures of the sales, owing to the fluctuating currency. However, there is a vehicle for every 47 people,quite a low vehicle to people ratio.
si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
 
si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
blietz nadhani wewe sio mkenya na kama ni mkenya basi ni wale vijana wa kikenya ambao wapo vizuri sana kichwani.

nimekuwa nikikufatilia sana. huzungumzii vitu kwa emotions kama wenzio.nawazungumzia "muggers" likes of collo, mwaswast et al.

umemuzungumza issue yenye logic sana.ila kwakuwa huyo jamaa ni kati ya wale blind patriot wa kikenya, usitegemee jibu lenye manufaa.
 
Narudia kwamba whether mimi ni mweusi kama lami sio hoja. I can PM you my photo to make your own judgement about how "dark" I am. But at least I told you my mind, stop double speak. Wewe ni mwafrika kama mimi na wengine wote hapa ndani. Sasa tukibaguana humu ndani wenyewe kwa wenyewe wazungu watafanya nini? Ndio maana nikasema hayo ni mawazo ya kijinga
Na ninyi muache kushabikia kiingereza kwa madai kwamba ni lugha ya dunia, acheni mawazo ya kitumwa kwa kushabikia lugha za kigeni. Ninyi wenyewe mlimsikia Amina Mohamed akilalamika baada ya kushindwa uchaguzi kule Ethiopia, kwamba bara la Africa limegawanyika kimsingi ya lugha za kigezi, Anglophone and Francophone, vipi ninyi bado mnaendekeza kiingereza?.
 
Back
Top Bottom