...yote tisa, kumi ni kwamba mnalease land kutoka kwa serikali yenu "tukufu". Ujinga na utumwa ulioje!Sifa za kuwa mmiliki wa kitu
Kuweza kukiuza kwa mwingine
Kuweza kukitumia kwa Uhuru bila kuomba ruhusa
Kuweza kukopea au kuweka rehani ili kuipata faida
Kuweza kukirithisha kwa umtakaye
Kuweza kukipa utambulisho uutakao
Kuweza kukiita mali yako
Kutambulika na mamlaka kama mali yako
Hizi na nyingine nyingi ni sifa za wamiliki wote wa ardhi Tanzania wana Uhuru ya kufanya yote hayo kwenye ardhi zao.
Kenya shuleni mnasoma nini hata riwaya za wakenya wezenu mnasoma kweliNyerere save Africa from what?......u guyz must see a doctor 4 brain check-up
Bomba la mafuta ambalo litaingizia Tanzania pesa nyingi kuliko utalii na SGR yenu kwa pamoja limekuja Tanzania kwasababu ya our land policy, viongozi hawawezi kujichukulia ardhi kama alivyofanya Jommo Kenyatta, wala mabepari hawawezi kujilimbikiza ardhi, watu hawawezi kuishi kwenye slums, na wala hatuwezi kufa njaa kwasababu ya our land policy[emoji1] [emoji1] [emoji1]...yote tisa, kumi ni kwamba mnalease land kutoka kwa serikali yenu "tukufu". Ujinga na utumwa ulioje!
Hahaha hahhah kumbe wananyonya mpaka mbwa, mimi nilidhani wanakula uroda wa mbuzi pekee kumbe wamefika mbali zaidi kiasi hiki,?? Na huko kutatuana rinda wao ndio experts huko mombasa ndio headquartersJamani watz katika hii thread tuwe makini tusije tukawa tunabishana na mtu humu kumbe yeye na familia yake wanaishi kwa kunywa maziwa ya mbwa
Au keshapata fursa ya kwenda kuolewa na mwanaume mwenzie marekani(maana nasikia Hii ni dream ya vijana wengi wa vyuo Kenya maana hukuna ajira wala uwezekano wa kujiajiri)
Waulize wafuataoNyerere save Africa from what?......u guyz must see a doctor 4 brain check-up
Kawaulize watanzania wenzako ambao wamejazana kwenye shule za kenya wakitafuta elimu. Watakujibu kwa ufasahaKenya shuleni mnasoma nini hata riwaya za wakenya wezenu mnasoma kweli
Dream yako si kuolewa marekaniFeelings mingi kwani uko periods na hauna always
Uliza wakenya wangapi wapo UDOM na vyuo vingine vya kaskaziniKawaulize watanzania wenzako ambao wamejazana kwenye shule za kenya wakitafuta elimu. Watakujibu kwa ufasaha
Who told you kenya haijengi pipeline? and did you say sgr? our is operational wakati nyinyi bado mnatafuta route ya reli kule vichakaniBomba la mafuta ambalo litaingizia Tanzania pesa nyingi kuliko utalii na SGR yenu kwa pamoja limekuja Tanzania kwasababu ya our land policy, viongozi hawawezi kujichukulia ardhi kama alivyofanya Jommo Kenyatta, wala mabepari hawawezi kujilimbikiza ardhi, watu hawawezi kuishi kwenye slums, na wala hatuwezi kufa njaa kwasababu ya our land policy[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hao ni wenye walifeli KCSE huku wakapata soft landing huko kwenuUliza wakenya wangapi wapo UDOM na vyuo vingine vya kaskazini
Soma vizuri usiwe na haraka kama upo na date na boyfriend wa kizungu, nimekuambia Uganda pipeline ambayo ingewaingizia pesa nyingi mumeikosa kwasababu ya land policy yenu, sikusema hamtojenga. Nimekuambia bomba hilo litaingiza pesa nyingi kuliko pesa mtakayopata kutokana na makusanyo ya utalii wenu na yale yatakayoingizwa kutokana na SGR yenu kwa pamoja, siwezi linganisha vitu viwili ambavyo ni sawa na mbingu na ardhi.Who told you kenya haijengi pipeline? and did you say sgr? our is operational wakati nyinyi bado mnatafuta route ya reli kule vichakani
Uganda chose your route because it was shorter and because of your favourable topography, not because of anything else. Give me a link stating that UG chose Tanzanian route because of bad land policies in Kenya. Leta haraka nangojaSoma vizuri usiwe na haraka kama upo na date na boyfriend wa kizungu, nimekuambia Uganda pipeline ambayo ingewaingizia pesa nyingi mumeikosa kwasababu ya land policy yenu, sikusema hamtojenga. Nimekuambia bomba hilo litaingiza pesa nyingi kuliko pesa mtakayopata kutokana na makusanyo ya utalii wenu na yale yatakayoingizwa kutokana na SGR yenu kwa pamoja, siwezi linganisha vitu viwili ambavyo ni sawa na mbingu na ardhi.
Na sisi walifeli hukuHao ni wenye walifeli KCSE huku wakapata soft landing huko kwenu
Heee jamani hivi mnamwele huyu mwenye data amsadieUganda chose your route because it was shorter, not because of anything else. Give me a link stating that UG chose Tanzanian route because of bad land policies in Kenya. Leta haraka nangoja
How can a class one fail ib anything? Wengi wenu mnaosoma kenya mnaanza kusoma kutoka ngazi ya chini, yani pale kindergarten au darasa la kwanza au la pili. Hao wamefeli mtihani gani Tanzania?Na sisi walifeli huku
Kama unajua hauna data si ungenyamaza tu? Mbona unaomba usaidizi?Heee jamani hivi mnamwele huyu mwenye data amsadie
Usije ukazani wanaposema ardhi ni mali ya serikali ukazani kwamba sasa wananchi hawana chao katika ardhi ila ni kwamba unapochukua ardhi bila kuendeleza serikali huchukua na kugawia secta mbalimbali za serikali ili waiendeleze ila muhusika iliekuwa ikiimiliki analipwa na kutafuta eneo lingineSome guys are slaves in their country how can u lease land kama foreigner