TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Once a snitch always a snitch majinga hayo mamtu uwiiii ndugu yangu akizaa na mkenya nakata undugu hakya nani maana ujinga wa haya mamtu ni wa kiwango cha kimataifaaNdivyo walivyo hiyo video inaonesha wakenya waliandamana kumpinga trump Hehehe yale maamdamano ya wanawake wa kimarekani kumpinga trump nao wakenya waliungana nao najaribu kutafuta connection kati ya marekani na Kenya sioni.
Juzi trump amesema nchi za Afrika ni shithole, African Union wakaungana wote kulaani hiyo kauli, Kenya pekee ndio imemtetea trump na kumuunga mkono tena official state statement hapo unaweza kuona ni namna gani wakenya walivyowatumwa kwa wazungu mpaka kesho.
kilaza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]What's the correlation between computers, smartphones and tribalism?
Na nyie mbona MDC lakini watoto wenu wanakunywa maziwa ya Mbwa D😀😀😀Story mingi ya nini? Why is Tanzania still an LDC?
Hawa mibongo wana argue kutumia hisia sana. Kila time wanatajataja story ya land hapa mimi hua nacheka tu. today I have decided to remind them if one obvious fact that they don't seem to be privy to; they lease land from their government while we own land 100% here in Kenya. Halafu utasikia wanavyopiga kelele hapa eti wakenya hawana ardhi. Hawa ni vilaza kweli. A classic example of Nyani hauni kunduleAti tunamiliki ardhi na wakenya hawamiliki ardhi.....wakati ni kulease mna lease kutoka kwa serikali alafu mnaona ni jambo la kusherekea..mibongo jameni
Una own land gan wewe hahahahaha... Kenya ndio nchi pekee dunian wananchi wake wanakaa ka wapangaji kwenye nchi yao wenyewe idiotsYou sound bitter for no good reason. Land policies in Kenya and tanzania are like heaven and earth. Uhuru kenyatta as a citizen of this country owns land just the same I also own land as a citizen of this country.Uhuru kenyatta and I don't lease land from the government. We OWN our respect pieces of land and the government has no say over our respective pieces of land. In tanzania the keyword here is LEASE. Hakuna ardhi mtanzania anamiliki, hiyo yote ni mali ya serikali yenu, get that simple fact. Kwa hivyo kutoka leo yafaa ujue hauna ardhi hapo ldc state, sawa?
Usiwe mjinga kama unalipwa walikihitaji kwa gharama Za kipindi chako na kukupatia fursa ya kujiendeleza pengine tatizo liko wapi?Yaani kanyumba kako2k dola $30k ndio izuie barabara isipite??wake up na uache ujinga wakoland policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Wajinga wamefaulu kujitoa LDC ila nyinyi mnaojiita werevu mko kundi moja na kina Somali,Congo,CAR,S.Sudan [emoji23] [emoji23]Once a snitch always a snitch majinga hayo mamtu uwiiii ndugu yangu akizaa na mkenya nakata undugu hakya nani maana ujinga wa haya mamtu ni wa kiwango cha kimataifaa
Land rates ziko hatu huku Kenya, tena ni hatia kukosa kulipa land rates. Ninachosema ni kwamba sisi we DON'T lease land from the government like you do there in bongolala. Got it now?Hehehe unachekesha kwani nyie hamlipi property taxes huko Kenya.?
Mimi nafikiri ardhi ni mali yenu moja kwa moja no property taxes, no forced compensation kuna mkenya ambae anaweza kukomaa hakuna kupokea fidia kama sitaki eneo langu lichukuliwe na serikali na mahakama ikamkingia kifua??
Sasa kama serikali ikitaka eneo lako inalichukua tu hata uende mahakamani huo umiliki wako ni upi?
Nyerere hakua mtu mwenye tamaa ndio maan amekufa hana mali yoyote lazma uangalie nchi kwanza sio nafsi yako tuThat's good for him...nyerere had no benefit for his family and the country at large....Tanzania is still an LDC
And capitalism made you kunyans maskini na wapangaji kwenye nchi yenu wenyeweUlipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
Nani akunywe maziwa ya mbwa wakati kenya is the third biggest producer of milk in Africa? Na asante sana kwa kukubali kwamba mnalease land from your government for 99 years. Himiza wenzako akina Kadoda pia wakubali huu ukweliKuishi kwakunywa maziwa yaumbwa na kumiliki ardhi kwa miaka 99 kipi bora
Haha...naona temperature ishapanda! Muone daktari kaka ila nakukumbusha tena kwamba hauna ardhi TanzaniaHaha nyie ni washenz sana,wapenda chapati
Hatulease land tz au hujui maana ya serikali .???serikali ni watu na ardh inamilikiwa na watu idiotland policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Punguza asira. ila yafaa ujue toka leo kwamba hauna kipande cha ardhi hapo ldc stateWatz tunamiliki ardhi hutak kanyee mbele huko bt ukwel ndio huo idiot
Asante kwa kujibu kiroho safi kwamba property taxes mnalipa serikali kila mwaka safi sana hiyo ni kodi ujue Hehehe kodi anachukuaga mwenye nyumba tu Hehehe so serikali ndio mwenye nyumbaLand rates ziko hatu huku Kenya, tena ni hatia kukosa kulipa land rates. Ninachosema ni kwamba sisi we DON'T lease land from the government like you do there in bongolala. Got it now?
Achilia mbali ardhi iliochikuliwa na settlersAti tunamiliki ardhi na wakenya hawamiliki ardhi.....wakati ni kulease mna lease kutoka kwa serikali alafu mnaona ni jambo la kusherekea..mibongo jameni
Hiyo middle income mlopewa na mzungu mnaemramba makalio ????hakuna mtz anaishi maisha mnayoishi kibera ...hivi kwanza nchi yenu c mnakula milo miwili per day!!! Majinga nyieeeWajinga wamefaulu kujitoa LDC ila nyinyi mnaojiita werevu mko kundi moja na kina Somali,Congo,CAR,S.Sudan [emoji23] [emoji23]
Hawa ni watumwa ndani ya nchi yao. Then they have the audacity to talk about how Kenyans are landless! Kweli nyani haoni kunduleland policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Haha uyo ni mjinga Tena..Nyerere hakua mtu mwenye tamaa ndio maan amekufa hana mali yoyote lazma uangalie nchi kwanza sio nafsi yako tu