1.tulipopata uhuru kila mtu alipewa ardhi kenyatta alifanya ivoWabongolala nyinyi ni wa shenzy sana.....kila siku mko hapa kusifia ujinga.....Tell me one thing that Nyerere did to help u get out of poverty
Ume catch tayar[emoji23][emoji23]Baada ya mzungu kuwapa uhuru wenu mmejikomboa kutoka kwa umasikini na ujinga
Hiyo prism ndo huwa inanivutia ntakuja Nairobi by 2020 nije kuona liveupper
Karibu sana bro, usisahau pia kutembelea Nairobi aboretum, girrafe center, Nairobi safari walk, the village Market na maeneo mengine mengi ya kuvutiaHiyo prism ndo huwa inanivutia ntakuja Nairobi by 2020 nije kuona live
hasira hasara... kisu cha ngariba kimeingia mahala pake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabongolala nyinyi ni wa shenzy sana.....kila siku mko hapa kusifia ujinga.....Tell me one thing that Nyerere did to help u get out of poverty
Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?Sisi ni ldc hatukatai lakini tulipota uhuru kila mtu alipewa ardhi na wazungu walinyang'anywa ardhi wanyonge wakapewa sasa nin maana yakudai uhuru huku wakenya huku ardhi ambayo ni msingi wa uzalishaji mali mkawaachia wazungu
Ebu cha mkenya Ngugi wathiong'o kinaweza kikakukomboa tutoka ktk utumwa wa fikra
Ndo ujaribu kua mtz uone urahisi wakumiliki ardhi ambayo ndo msingi wa utajiri
Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
my grandfather on my mother's side left me and siblings 3000 acres of land in our village.Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
Mwambie uyo ajue tz ni kama bustani ya edenikila mtu anamiliki ardhi tz.kama si mjini basi kaachiwa mashamba na baba yake kijijini kwao ya kulima.
Hata ombaomba tanzania Ana ardhi ya kulima sema utakuta ni mremavuKila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
I think almost everyone has a piece of land... Unless amezaliwa mtaani.. Na hajui chimbuko lake.Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrateMwambie uyo ajue tz ni kama bustani ya edeni
Mpaka waishe wapinzani wote ndiyo tutaanza kujengaa,,,,,,,,,,, VIWANDAThe fact that unauliza hilo swali linaonyesha you're ignorant. Kabisa hujui mipango ya maendeleo ya nchi yako? Unataka tukuletee hapa?
Wakihiitaji watairipia fidia ni sawa tu huko kwani nyinyi serikari ikihitaji ardhi kwaajiri ya miradi haichukui kwa kufidiaTanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
Uzuri wa huku serikali ni sisi sote sio kama huko serikali ni ya kabila fulani au familia fulaniTanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
Kipi bora kati ya ardhi kumilikiwa na serikali au kumilikiwa na Uhuru kenyatta familyTanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
There are so many things to celebrate, the fact that Uganda oil pipeline shifted to Tanzania because of land ownership policy in Tanzania is more friendly for investments is just a tip of iceberg.Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
Tell em, Tanzania is going to lead the talk make no mistake.You need him dearly, he is the African person of the year 2017, followed by Kagame, unfortunate Uhunye couldn't make even in the top ten, don't forget he has also taken Mandela peace prize 2017[emoji1] [emoji1]