joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hao ni individuals wanavunja sheria za nchi, vipi kama nchi yenyewe inakuwa ombaomba, nani wa kuishitaki?Pia kuja Kenya kuomba omba ni employment
https://edaily.co.ke/entertainment/...anian-men-42-years-jail-129487/enews/ekenyan/
Looks like a warehouse , whoever cameup with this drawing should be hanged period!!!!!!!JNIA terminal 3 mwaka huu itakua tayari...
Maskini wa kutupwa nyinyi.... Iweje wenye shibe waje kwenye nyi yenye njaa kuomba omba, does it even make sense???and mind you that's bungoma what is to say how many of your fellows are in the bigger cities and towns of kenyaHao ni individuals wanavunja sheria za nchi, vipi kama nchi yenyewe inakuwa ombaomba, nani wa kuishitaki?
Feature: Kenya's drought victims applaud food donation from Chinese firms - Xinhua | English.news.cn
Eldoret airport is better than that thingJNIA terminal 3 mwaka huu itakua tayari...
Kichaa wewe, hao wanaokuja huko umeambiwe ni disabled na watoto. Sisi hatuombi wala kusaidiwa chakula kama ninyi, wala hatuishi katika slums na hatuna tatizo la employment, our standard of living is far higher than yours.Maskini wa kutupwa nyinyi.... Iweje wenye shibe waje kwenye nyi yenye njaa kuomba omba, does it even make sense???and mind you that's bungoma what is to say how many of your fellows are in the bigger cities and towns of kenya
Tunapokea maoni!!...ikianza kutumika inawezekana Mkabadili maoni!!Looks like a warehouse , whoever cameup with this drawing should be hanged period!!!!!!!
Eldoret airport is better than that thing
Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba TanzaniaKichaa wewe, hao wanaokuja huko umeambiwe ni disabled na watoto. Sisi hatuombi wala kusaidiwa chakula kama ninyi, wala hatuishi katika slums na hatuna tatizo la employment, our standard of living is far higher than yours.
Mtu kuwa ombaomba ni sehemu ya matatizo ya akili, kwa taarifa yako, huku Tanzania hawaruhusiwi kukaa mijini huwa wanafukuzwa ndiyo sababu wanakimbilia huko, hata katika nchi zilizoendelea utakuta kuna ombaomba, lakini hakuna nchi yoyote makini inayopokea msaada wa chakula, katika dunia nzima ni Kenya, Yemen, South Sudan, Somalia, na sometimes Ethiopia, shame on You.Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
weka hisia na mahaba pembeni.Unajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
mimba yako iko karibu kujifungua.Looks like a warehouse , whoever cameup with this drawing should be hanged period!!!!!!!
what about an ldc song?...don't you think it's an outdated boring song?.[emoji23] [emoji23]Can't you sing another new song on Kenya!? This one is already tired and retired.
TumaCladding imeshaanza kwa jengo jipya la 35 floors, PPF,naomba picha halisi zitumwe hapa.
what about an ldc song?...don't you think it's an outdated boring song?.[emoji23] [emoji23]
Unajua hapa msa kumejaa walalas.....nikiwauliza bona waliamua kuishi Kenya....wanadai eti ni kwasababu yah pesaUnajiskia ulivyo empty kichwani...utakuaje na higher standard of living na huna tatizo la unemployment ilhali maelfu ya watanzania wanakimbilia Kenya kuomba omba. Nilishangaa hadi kule wajir utawapata???ingekua vice versa wakenya kuja kuomba omba Tanzania
keep singing about ldc.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]But it's you people always writing a new chorus to the old song instead of bringing a new song altogether! The chorus is the heart of any song! 😀😀😀
Ingekua inaenda mbele haingekuwa inaitw ldcacha waendelee kuimba wimbo ldc.....vitendo ni zaidi ya maneno.
nchi inasonga mbele kwa kasi sana.kimya kimya. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kwa hivyo hao disabled na watoto sio watanzania? Acha kupinga kila kitu wewe, hata kitu iliyo wazi. Hao beggars ni watanzania na wanapatikana Karibu miji mikubwa yote kenyaKichaa wewe, hao wanaokuja huko umeambiwe ni disabled na watoto. Sisi hatuombi wala kusaidiwa chakula kama ninyi, wala hatuishi katika slums na hatuna tatizo la employment, our standard of living is far higher than yours.