Master plan of the city ni document yenye set of directions namna gani tutaendeleza mji wetu.Ninachoongea mimi ni:mbona iko wazi kipengele cha kwanza ----"Master Plan of the city" ambacho naona ni muhimu kuliko chochote kile kama . Master Plan of the city ni mbaya mji hauwezi kuwa mzuri
huu uzi umekushinda na utazidi kukukalia kushoto sisi tumeona maendeleo sana tu tena kwa speed kubwa na tunaomba magufuli abane vzr bado akaze kisawasawa tufike nchi hii haiendeshwi kwa mawazo yako😀😀Mkuu inabidi nikuache kwenye huu uzi,naona uko kisiasa zaid,poa mpemde huyu "Uncle" wako mimi sina matatizo kwa hilo,ningependa tujadiliane kwa hii hoja,sijui huyo "uncle"kama anajua hata unaishi vipi...
uncle anajua sana tena tunataka akaze tu kama maendeleo huna imekula kwako sisi maendeleo tunayaona sana tu na tunamkubali kisawasawa 😀😀😀😀😀😀Mkuu inabidi nikuache kwenye huu uzi,naona uko kisiasa zaid,poa mpemde huyu "Uncle" wako mimi sina matatizo kwa hilo,ningependa tujadiliane kwa hii hoja,sijui huyo "uncle"kama anajua hata unaishi vipi...
Maendeleo yangu makubwa sana mkuu,tena sana ukilinganisha na watanzania wengi...lakini nawahurumia watanzania kama wewe...umetekwa na wanasiasa..kama wewe mwenyewe huna maendeleo huna dream usifkiri watu wote wako hvo ndio maana hua tunasema usiseme watu hawana pesa sema mm sina pesa
maendeleo yapo na tumeyaona na tunazidi kuyaona kama wewe huyaoni vaa miwani ya mbao😀😀😀😀
kama makubwa na sisi yakwetu makubwa sana na tunaona maendeleo sana tu na tunataka tuzidi zaidi ya hapa hatutaishia hapa tu tutakaza buti mwanzo mwishoMaendeleo yangu makubwa sana mkuu,tena sana ukilinganisha na watanzania wengi...lakini nawahurumia watanzania kama wewe...umetekwa na wanasiasa..
Unafikiri kwa hisia sio kwa uhalisia,mimi nafikiri kwa uhalisia hisia zangu nimesziweka pembeni
hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...huu uzi umekushinda na utazidi kukukalia kushoto sisi tumeona maendeleo sana tu tena kwa speed kubwa na tunaomba magufuli abane vzr bado akaze kisawasawa tufike nchi hii haiendeshwi kwa mawazo yako😀😀
pole sana bro kama unaumia umia tu😛😛
Mungu ibariki tanzania, Mungu mpe uwezo na afya uncle magu akaze yani anyooshe nchi inyooke kama mchele basmat😀😀😀😀hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...
nakini sitomwacha manasiasa yoyote yule kuniweka kasumba katika akili yangu,"No one can manipulate me,"
Huu uzi nilifikiri kuhusu maendeleo wa mji wa daresalam kumbe hata hayo maendeleo ya mji inabidi tumsifu Uncle Magu,hahahaha
God bless Tanzania
na tutamsifu sana kwa kaz kubwa anayoifanya mwenye haki apewe sifa yake😀😀😀😀😀😀hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...
sitomwacha manasiasa yoyote yule kuniweka kasumba katika akili yangu,"No one can manipulate me,"
Huu uzi nilifikiri kuhusu maendeleo wa mji wa daresalam kumbe hata hayo maendeleo ya mji inabidi tumsifu Uncle Magu,hahahaha
God bless Tanzania
Badilisha kilevi acha kunya gongo mkuu...naona kama umepagawa,naona kama huna hoja tena.....Mungu ibariki tanzania, Mungu mpe uwezo na afya uncle magu akaze yani anyooshe nchi inyooke kama mchele basmat😀😀😀😀
go go go tanzania
Uzi unazungumzia mji wa Daresalam mkuu,hizo juhudi nyengine zinazofanywa weka pembeni,,,,labda ziko lakini sio uzi huu,,,,Inamaana Wewe juhudi zote zinazofanyika nchini huoni au? Ivi ni kwamba watu mmelogwa ama vipi?
umia tu bro yani lia kabisa 😀😀😀😀😀Badilisha kilevi acha kunya gongo mkuu...naona kama umepagawa,naona kama huna hoja tena.....
usifanye mambo kwa weledi wa mtu,fanya mambo kwa manufaa yako na familia yako
maisha ni mafupi sana kukukubali kutapeliwa kimawazo,wakati anaekutapeli ki mawazo anaishi kama hatakufa,hana anachokikosa,,,,tafakari
siasa ni mchezo mchafu,niko ki maslahi zaidi...
Hahaha umetoka kwenye mada umeingia kwenye siasa za kumsifu Magufuli,mungu ibariki Tanzania,zibariki fikra na mwazo ya mwenyekiti....😀😀😀umia tu bro yani lia kabisa 😀😀😀😀😀
uncle magu bado tutakaza mwanzo mwisho hakuna kupoga dili au utapeli
uncle magu safi sana😛😛
Angalia huu Uzi umeanzishwa lini, Ukijiongeza tena kidogo utaelewa kwamba ndani ya huu Uzi kuna nyuzi nyingine ndogo zimefunguliwa, hataivyo Karibia asilimia 99 ya Kila kitu kuhusu hii miji imeshazungumziwa, kwahiyo kipindi tunasubiri Jipya liongezeke ndo unakuta watu wanapashana habari za hapa na pale.Uzi unazungumzia mji wa Daresalam mkuu,hizo juhudi nyengine zinazofanywa weka pembeni,,,,labda ziko lakini sio uzi huu,,,,
Sawa mkuu,lakini mimi nimejikita zaidi kwenye mazingira ya mji wetu wa Daresalam ukiifananisha na yale ya Nairobi...Angalia huu Uzi umeanzishwa lini, Ukijiongeza tena kidogo utaelewa kwamba ndani ya huu Uzi kuna nyuzi nyingine ndogo zimefunguliwa, hataivyo Karibia asilimia 99 ya Kila kitu kuhusu hii miji imeshazungumziwa, kwahiyo kipindi tunasubiri Jipya liongezeke ndo unakuta watu wanapashana habari za hapa na pale.
Naona mnakula ngano ya bakressa ilolimwa na watz
nilipitia kwa mama Halima kidogo....
hizi matusi zenu ndio huniudhi sana . ....tukiwaanzia mtasema oh wakenya wabaya.... .. ...Lol! Street food za Nairobi ni Mandazi na Donati? Ndomaana hamna akili . Bongo land Street foods. So unique View attachment 686995 View attachment 686996 View attachment 686997