Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea kama umekatwa kichwa,Hayo sio maswali buda
Inawezekana kaka kichwa changu ni cha mlevi lakini kweye list kipengele cha kwanza "Master Plan of the city" ndio matatizo ya Daresalam,huwezi kujenga majumba marefu lakini hakuna mambo ya msingi kwa wakaazi wa hayo majumba,hizo ni akili za kijinga....

Mtu kama wewe unaona majumba marefu ndio maendeleo,mimi naona majumba kama hayo ni matatizo kwa jamii ya kitanzania...

Hatujafikia huko bado,wakati utafika,lakini bado kwanza tujikite kwenye kutatua mambo ya lazima....
 
Unaongea kama vile unakapoint lakini bado sijakuelewa,Unapojenga jengo refu mambo mengi huzingatiwa ambayo kiutalaam yanafahamika,sasa sijui imeibukia wapi Unaenda hadi kunisaidia kuwaza kuhusu majengo Marefu, niliwah kuambia lini kwamba ndio kipimo cha maendeleo?

Tafuta points zenye mashiko weka mezani habari za kuniwaza jiepushe nazo
 
[emoji120] [emoji120]
 
Wenzetu wakenya wana ndoto hizi,Je Tanzania tuna ndoto gani....
 
Kama uchumi wa Kenya imepikwa basi hata ile ya Dar ya real estate pia imepikwa kwa sababu zote ni data za world bank. how about that?
 
Kama uchumi wa Kenya imepikwa basi hata ile ya Dar ya real estate pia imepikwa kwa sababu zote ni data za world bank. how about that?
world bank october 2017 wametoa uchumi wenu ni 55 b sasa nieleze hio 70 mumeitoa wapi
 
wewe ni mkenya wala usifkiri tumekunyamazia ukajua hatujakujua haya tuoneshe hio render ya konza
Mimi ni mswahili wa Daresalam mkuu,Kenya nilienda kama mtalii tu,mawazo na fikra za wanannchi kwenye makaazi ndio yanayoleta mandeleo ya sehemu husika...

Siwezi kuusifia Mji wa Daresalam wakati najua wakaazi wake bado hawana akili za maendeleo,wewe mwenyewe Mkuu jifikirie kwanini umeanza kunituhumu kuwa mimi ni Mkenya??

Mimi naona umenishutumu kuwa sio MTz kwasababu hoja zangu zina mshiko,hayo sio maendeleo waswahili wanasema "kama huwezi kuwashinda ungana nao" ...nafikiri hamna mkenya na baadhi ya watanzania wanaweza kuandika Kiswahili ninachoandika,

Niwie radhi mkuuπŸ˜‰
 
thank you for speaking the truth brother...if you cant beat them, join them...mwambie huyo jamaa...wewe ukazungumza tu ukweli jamaa kasha kurukia na masingizio kana kwamba anaumwa...
 
You guys should understand that every country in Africa, SA included, faces its own challenges...By the way, SA has one of the highest crime rates in the world...it has slums everywhere from Cape Town to Johannesburg and also has the worst inequality levels in Africa...kuna mahali SA ni kama tu nchi zilizoendelea na kuna mahali ni kama tu third world countries or worse...



Muhimu ni kujitahidi kujinasua kutoka hali ya uLDC na kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi
 
nishakujua muda tu endelea kujifanya nyoka wa kibisa walipita wengi sana watu kama wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
The fact that unauliza hilo swali linaonyesha you're ignorant. Kabisa hujui mipango ya maendeleo ya nchi yako? Unataka tukuletee hapa?
Niletee mkuu,kuliza sio kuwa niko "ignorant" labda hiyo mipango ni ya siri au hakuna sehemu ambayo wananchi wa kawaida kama mimi tunawezakuiona kirahisi

waswahili wanasema "Kuuliza sio ujinga",mjinga ni yule asiejibu kile anachoulizwaπŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…