Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ule uko nairobi yenye population ya over 6million, zanzibar popolationa ya 700k na nado hata ligi yao haiko kwenye ubora na ushindani na mpira unategemea zaidi dar es salaam haya tuambie ww baada ya afcon hapo fumba ni nani atakwenda kucheza pale zaidi utabakia kama white elephant, and do u think afcon itaweza kurudisha hio pesa walioekeza hapo zaidi ya 400billion ? yani ni akili ndogo sana inahitajika wala sio rocket science
Ligi ya kunyaland ipo kwenye ushindani ubora upi na ushindani gani?
Yaani unatumia nguvu kubwa kuwatetea hao wajinga wenzako lakini wapi.
 
iko wapi inaimbwa 5 yrs ago 😂😂😂😂 ile ya kilimanjaro imeimbwa over 7 good years
Umesoma tarehe kwenye hiyo picha?
Umesoma habari kamili ya hiyo picha?
Unatumia nguvu kubwa kuwatetea hao wajinga wenzako lakini wapiii.
 
Hii Reli kwa ilivyo Loco haiwezi kutembea speed zaidi ya 20km/hr... Na urefu wake isizidi coaches 5. Kwa namna ime bend na hizo fish plates kwenye maungio hapo ni nginjaa nginjaaa ya noise pollution.

View attachment 3708033
Hawa jamaa wanajenga nini hii, yaani reli iliyojengwa na mkoloni mwala 1895 wao wanajenga same in 2026?
 
Back
Top Bottom