ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,650
- 164,177
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Kusema ukweli Siemens Class 189, uwezo wake ni mdogo kulingana na stadard ya SGR yetu yenye uwezo wa kupitisha 10,000 ton kwa mpigo.
Wange endelea na hiyo Hyundai Rotem au ile CRRC HXD1F uwezo wake ni mkubwa.
Labda iwe kwaajili ya kusogeza mzigo sehemu ya kuunganishia