game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,393
- 27,110
Wanajiita the Most educated, Supper educatedHebu angalia tu tuta ambalo ndio wanatandaza Reli hiyo... Angalia maungio yake.. then angalia vile imepiga Kona Kali Yani hapo Treni kutoka nje ya Reli ni kama kusukuma mlevi... Reli ya mkoloni ya 1895 Ina ubora na design nzuri kuliko huo ujinga wanafanya hapo.