babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Naona na hii supermarket ipo mpakani wanavuka ujirani mwema.kwasababu umesema sina akili
wacha nikujibu mara nyingi hao watu ni wale wanaishi mipakani kuna uhuru wa biashara au ujirani mwema ndio wanavuka huku wananunua bidhaa na wa huku hvo hvo ila hio hukuti kwenye supermarket za kenya nakwambia, ww utanifundisha nn mm mzee? mm nimetemebea kila kona ya kenya utanifundisha nn mimi??