Whitedent is Tanzanan brand wewe ponjoro!ndio ulivoambiwa hivo 😂😂😂
vitu franchising Hayati Reginald Mengi alifanya akaacha!Unilever oyeeeee
Whitedent is Tanzanan brand wewe ponjoro!
View: https://www.instagram.com/reel/DWBIEpEAPwL/?obrf=MXE4bnFuZnhwOG93Zw==
alhmadulillah nchi ina kila aina ya neema imejaaliwa kila aina resources. lakini bado ni maskini no 6 dunianiLake Tanganyika holds 60% of Africa's total freshwater.
Hii huwezi jibu maana akili huna.kwamba iko kwenye supermarket zakenya? 😂😂😂😂 labda mpakani utazipata
Yah akili huna,kwasababu umesema sina akili
wacha nikujibu mara nyingi hao watu ni wale wanaishi mipakani kuna uhuru wa biashara au ujirani mwema ndio wanavuka huku wananunua bidhaa na wa huku hvo hvo ila hio hukuti kwenye supermarket za kenya nakwambia, ww utanifundisha nn mm mzee? mm nimetemebea kila kona ya kenya utanifundisha nn mimi??