Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nitajie hio bidha utaikuta kwao moja tu nitajie inayotoka tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣
1793557524652.jpeg
 
Wameona kuna upepo mbaya wa watu wao, wanamtuhumu Ruto kutumia mabilioni kuwaleta Bayern wakati uwanja wenyewe wanajenga wa mkopo wa Lipa mdogo mdogo miaka 15.

Kwahiyo timu ya propaganda imezusha hilo, ili ku-massage ego za Wakunya wajisikie vizuri hawajakosea.

Hukuona hata Mkataba wa BATUK ulipoisha, ili wapewe mkataba mpya wakazusha eti BATUK wanataka kuhamia Tanzania.
Msigwa inabidi atoke akanushe,maana kunyan wanaona tumewaiga while hatuna hata huo mpango
 
Back
Top Bottom