Sheng ni Lugha gani ?Which Kenyans are those ?.. I know hundreds of Kenyans in the diaspora. I have attended Kenyan events like rugby in Vegas and July 4th weekend extravaganza in Texas where thousands of Kenyans gather . The only 2 languages spoken ni English or Sheng . Period!… We respect Kiswahili as our National language and even teach our kids few words here and there . My kids can say basic stuff in Swahili . But it’s not a priority for us abroad, just a pride .
Wanakwambie internet connectivity and penetration they are leading in the continent 🤣🤣🤣
yani mm nilikua nikidhani marcopolo za tanzania zinatoka south africa kumbe ni AVA kenya, tulikua tunashupaza shingo tu hapa😆Kwani haya mabasi yameanza kutengenezwa huko Kenya jana? Mbona zamani ulikuwa husemi?
asante kwa TBT kwa kweli tulikua tunashupaza shingo tukidhani tuko mbeleKuna hizi TBT 😂😂😂
ndio naona leo hio na ni post ya recent ndugu 13hrs agoIt doesn't make sense since 60yrs back hukuona hili.
mm uchawa siuwezi bro nikwambie ukweli tuSometimes ukiwa huna point ni mara mia ukakaaa kimyaa TU,
Why do you call it Superhighway ?You're right.
60km From Nairobi to Kenol, it's not a dual carriage. It's an 8 lane superhighway. The 84km dual carriage begins in Kenol.
sio kazi yangu kutafuta, ila nitakwambia nini chakufanya kwanza ondoa rushwa, ondoa ukiritimba,ondoa vishoka, jenga miondombinu wezeshi na ya uhakika alaf utawaona hao waekezaji wakija bila kuitwaSasa hata wewe si unaweza mtafuta mwekezaji akawekeza kuliko kupiga kelele hapa?
Kuna watu wanafanya kazi ndo maana unaona alipatikana? Lakini pia serikali haifanyi biashara bali ni kuweka mazingira kwa ajili ya uwekezaji.
Pia acha kuwa mjinga nenda tandahimba ukaone MAMCU wanavyojenga kiwanda kikubwa Cha korosho, pia Kuna small scale industries za kufa mtu ni wewe TU na akili yako ya kulalamika
Hiyo 84km kwanza ipo ?Mnazunguuka. 😂😂😂
Dom outer ring 115 km.
Vs
Nairobi-Murua road 84 km.
Dom outer ring road is the longest dual carriage way in the Region. Mkitaka kulia mlie. Msitutajie kitu ambacho hakipo ground. 😂😂😂😂
Anarusha rusha mawe, kanaogopa kuni quote maana anajua aki niquote naweza kuja na kitu kipya. 😂😂😂Badala mkapambanie flag yenu iko inatumika kufutia viatu vumbi 😂😂
View: https://x.com/AugustinGithaka/status/2114619901386321994?s=20
Tafuta mwanasaikolojia akusaidie, kuna shida kubwa kwenye afya ya akili.asante kwa TBT kwa kweli tulikua tunashupaza shingo tukidhani tuko mbele
sikuwah kufkiri mpaka marcopolo za bongo zinatoka AVA 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hayuko vizuri. Anahitaji msaada. Kuna jambo kubwa baya sana limempataTafuta mwanasaikolojia akusaidie, kuna shida kubwa kwenye afya ya akili.
Wakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂mm uchawa siuwezi bro nikwambie ukweli tu
Ni huzuni kubwa. Wengine maumivu yao huwa wanayatoa kwa kuwaumiza wengine. Ni kukosa malezi boraWakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂
Wewe una changamoto ya afya ya akili.
Tunapost maendeleo ya Tanzania humu, kuna mtu umeona anapost viongozi?
yani mm nilikua nikidhani marcopolo za tanzania zinatoka south africa kumbe ni AVA kenya, tulikua tunashupaza shingo tu hapa😆yani mm nilikua nikidhani marcopolo za tanzania zinatoka south africa kumbe ni AVA kenya, tulikua tunashupaza shingo tu hapa😆
Mr. Gaylord will tell you that he used to earn that $150 per day in 1974.Yani mtu ako hapo bongolala penye mshahara yake haifiki 50k ya Kenya achangie mtu ako nchi yenye minimum wage ni $15 per hour, yani akiamua afanye kazi ya chini kabisa for ten hours a day anaingiza $150. 🤣 🤣 🤣
Equity has never owned any building, even in Kenya they have rented a space. Why tie your money in a dead capital when you can rent and save the rest for doing other productive things?Are you a village comedian?
Hako sacos ka equity wame rent kajengo fulani kamechoka pale Mwenge ndio wana investment ya 700M?🤣🤣🤣
Ungejua vile unaudhi hawa chawa, ingekuwa karibu wangekunyonga😂😂🤣asante kwa TBT kwa kweli tulikua tunashupaza shingo tukidhani tuko mbele
sikuwah kufkiri mpaka marcopolo za bongo zinatoka AVA 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Actually 50% of Tanzania truck roads are like that. 😂