Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


hili ndio umepewa mwisho mkuu...ilikua bado wewe but nairobiwalker kaenda kujipumzisha.kesho mungu akipenda
Kwanza mmepost zaidi yetu maana nilianza pili kuna mtu alipost jengo la 18flr humu
Tatu tuna majengo kibao above20 ila picha sina na majina sijui
Tathmini hii picha apa

Kibaya ni kuwa dsm ni kubwa na kila siku inajengwa
Majengo ni mengi ila yanayofahamika ni machache ndo unakuta kwenye internet

 
DELTA CORNER TOWER A AND DELTA CORNER TOWER B
21 flors/ 75m both

Hizi ni mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinajua fix hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mnataka above 20 dsm yamejaa sana mfano ni hizo picha
Majengo ata majina siyajui
delta iko 20
 
Angalia sasa mmeishiwa na majengo adi mnaleta jengo lenye floor 18
Mi nilisema nyie ni minara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mmekimbia
Na bado majengo kibao sijaweka
Inabidi muirespect dar


PSPF Golden jubelee 24 flrs


The battle is between me representing Kenya and KweliKwanza representing Tz. Please let's focus on the two to avoid confusion. PSPF Golden Jubilee is 22 floors mkuu. Nakupa Nyayo House - 27 floors. Haya nipe jengo.

 
kaka naona unawacharaza bakora wazee wa matopeni na vyuma chakavu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hili mshapost uko nyuma
Nimepost majengo mawili leta mawili tuendelee kazi
Hivi mbona nyie mnapost majengo mawili yalishikana mara mbili nasi tukifanya hivyo mwalalamika? Si umepost Viva Tower mara mbili? Mbona sisi tusipost NSSF (North tower + South Tower) na Nyayo House (North Tower + South Tower) mara mbili?
 
Tukubaliane kitu moja twin or multiple towers ni zile zilizoachana kutoka kwa ground kama Vile PSPF, BOT, Delta Towers etc. hivi vijengo munatupea vinakaa jengo moja kutoka ground alafu munasema eti twin towers mutakoma. Kumbukeni Anniversary Towers, Nyayo House, NSSF, Ambank, Viewpark etc ni majengo mengi yaliyoshikana ila tunayapost kama jengo moja.
 
kaka naona unawacharaza bakora wazee wa matopeni na vyuma chakavu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bakora wakati wamebakia kujinyea wamerudia majengo mawili ulikua ushayapost mwanzo ahhahahaha walikua wanajichanganya hii ndio bongo niliwaambia mm 2017 hahahahah
 
Soma mwanzo mpaka mwisho wenzako wamerudia majengo mawili hawajui wapost nini hahahahaha dar ni motooooo hehehehehe
 
Hivi mbona nyie mnapost majengo mawili yalishikana mara mbili nasi tukifanya hivyo mwalalamika? Si umepost Viva Tower mara mbili? Mbona sisi tusipost NSSF (North tower + South Tower) na Nyayo House (North Tower + South Tower) mara mbili?
Jengo linaangaliwa na yalivokaa kwasababu yakwetu mengi ni twin towers hahahaha wameekea 6 towers hahha wakaruka kama wamepigwa shoti wamebakia kuomba jina na kulia hahahahhahahahha wamenifurahisha sana watoto wako janaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…