Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu walikuwa washatia mkono kwenye sufuria la Vittol halafu anakuja mtu anasema Tanga lazima uchanganyikiwe kitumbua kinataka kupotea hivihivi kwa kauli isiyo ya kiitifaki.
Mnaojua what went on behind the scene kwanini mnaongea kwa mafumbo? Una maana Vittol project was on before Kasongo kuibuka na Dangote?
 
unaniuliza mm kaulize wapiga kura kila kichwa kimoja 2800 tsh na pesa zilimwagwa mitaani na vocha za bundle juu alaf tumepata faida gani in return? mke wa gsm pekee alitoa zaidi ya 25m vipi matajiri wengine na serekali kwa ujumla?
Sasa unaniuliza mimi pesa za Mke wa GSM?

Mtu na pesa zake wewe zinakuuma, ulitaka wakupe wewe?

Leta hapa ushahisi kama kuna pesa za kodi, tuzungumze.
 
shida hii nchi sijui tumekuaje bro na mm nimeamini uchawa ni catastrophe ya nchi hii yani 17b usd investment mtu anakwambia tusingefaidika 😂😂😂😂
Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…