Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hii vumbi umeshinda ukiimba kila kukicha ni projection ya your own village of mbeya issues 🤣🤣🤣View attachment 3696458View attachment 3696459View attachment 3696461
Kundi kubwa la wafuasi wa Chadema ndio limemwagwa mitandaoni kutoa maoni ya hivi pamoja na watu wanaopinga serikali kama ilivyokwa Ichoboy kwa sasa.

Hali hii ilikuwa hivi kipindi cha Magufuli kwa watu waliompinga Magufuli na ndio ilivyo kwa watu wanao mpinga Samia.
Binafsi nampinga sana Samia lakini siwezi kuwa muongo or kuja na data za kupika just kuipaka matope serikali ninayo ipinga. Nasifia wanapo fanya vyema na nakosoa wanapofanya vibaya.

Sasa kwa mjinga yeyote asiyejua or kafail kutambua siasa za Tanzania ataishia kujipa moyo na ujinga wa kuokota matamshi ya kijinga mitandaoni.

All-in-all, hakuna taifa lililo endelea watu wake wanakifa na njaa. Hakuna taifa lililo piga hatua kiuchumi lisolo jitosheleza kwa chakula. Hakuna taifa linaloweza toka handharani na kuwa proud na maendeleo kama ni taifa linalotegemea chakula cha msaada.

Kama taifa hili lipo, basi ni taifa la watu wapumbavu sana.
 
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.
Wakenya tunaenda Kuenjoy Mali ya warabu huko Zanzibar na Wanyamwezi maskini Wa bala wanashangilia 😜🤣🤣🤣
 
Tunaeza bishana hapa mpaka kesho kutwa, mimi naliacha kiporo hili jambo, muda ndio utaleta majibu.
 
Ichoboy kwani ulioa bibi mwingine ?.. 🤣🤣🤣umechanuka pro max . Whatever you are doing, don’t quit . I can’t wait to read more from you … very interesting … 🤯🤯🤯
 
unajua nn kuhusu refinery icho girl 🤣 🤣 ulitaka ajenge refinery uganda alafu auze vp kwenye ships 🤣🤣🤣🤣
 
Watu walikuwa washatia mkono kwenye sufuria la Vittol halafu anakuja mtu anasema Tanga lazima uchanganyikiwe kitumbua kinataka kupotea hivihivi kwa kauli isiyo ya kiitifaki.
Mnaojua what went on behind the scene kwanini mnaongea kwa mafumbo? Una maana Vittol project was on before Kasongo kuibuka na Dangote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…