Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilichokuambia kuwa zilikusanywa 2024 ndicho ulichokiweka. Asante kwa kukubali kiaina
Yaani data zikusanywe 2024 ndio zitolewe 2026? Hizi data zimekusanywa 2025 ndio maana zimetolewa 2026 👇👇
Screenshot_20261012-104738.jpg
 
Wewe ni mfupi. Si umepost hapa picha yako juzi dem fulani mdoogo na bado amekushinda urefu? Alafu usijifanye hujaona hii. Ulileta story za kuingia stadium alafu baadaye unaanza kulia eti wengine wanakuwa personal kwenye mijadala na wanafurahishwa na vitu vya kipuuzi kama kuingia stadium wakati ni wewe uliona kuingia stadium ni kitu cha maana hadi ukaitisha picha kuprove Nairobiwalker ameingia stadium.
Wewe mtetee mwenzako ila watu walisoma huo mjadala, so them all know which is which.
 
Wewe mtetee mwenzako ila watu walisoma huo mjadala, so them all know which is which.
"Them all know which is which" ni kiingereza gani hicho.😂😂
Mimi ni mmoja wa waliosoma wee mbilikimo na hadi nilikukwotia ukileta mambo ya kuingia stadium kambe ni kitu cha maana sana. Leo niko na wewe hadi ujingu ikutoke. Wacha nikuwekee in bold na in red ndio uone vizuri.😂😂
Uzuri mimi ni shabiki mzuri wa mpira na huwa naendaga kuangali ball viwanjani kabisa, tabia yangu tangu utotoni. Sijawahi kukuona kwenye uwanja wowote stupid. 😂😂😂 we zako labla kupita nje ya uwanja kwa mbaaali halafu upige picha 1km away from the stadium ndio uje upost humu.

Tena wewe mkundu kunuka ulipita hapo chuga uwanja ukiwa ndio kwanza wanaeka machuma 😂😂😂

Have you ever been inside any stadium before.?
 
Which Infrastructure when you lag behind Burundi in Infrastructure index? Which industries are you building?

Hamna haha ya kujenga a 62 floors building cause your poor countrymen won't fill it even after 309 years.

Talking of Slums, are you aware 70% of Tanzanians live in slums compared to 40% of Kenyans?
Mbona unanifokea kwa hasira tuliza munkari kijana 😁
 
Barabara ya undongo? I think you mean Dar vumbi.
Bongolala sio haja mmekosa ya kujenga skyscraper. Ni pesa mmekosa. Mbilikimo zenu za 20 floors zote ziko half empty years after completion.

Nairobi nyumba zinasell out before and during construction.
What is the occupancy rate of the affordable housing scheme? 😁
 
Back
Top Bottom