Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani zile nyumba za pale Kawe zinapangishwa kwa chumba laki sita per month utafananisha na affordable housing 50 bob per month?

Kakandwe huko
Nia na madhumuni ni wale wanaokaa Kibera waishi hizo nyumba. Kwa akili zako za mkunduni mkaazi wa Kibera aliyekosa kazi ambayo ingemlipia chumba eneo lingine ataweza kupanga hizo affordable housing!? Wakaazi wa Kibera watapata wapi hizo kodi za kulipa!?? Akili zimekaa matakoni wewe.
 
Toka hapa sikujibu tena kubi wewe huna ujualo tetea li mama lenu huko
Umeishiwa hoja unaanza kupayuka!?
Samia hapa kaingiaje!? Hata mie simkubali Samia hadi sasa rais wangu Magufuli ila usilete usenge wa kufananisha ubora wa reli ya Tanzania na Kenya. Utakua unapakatwa wewe sio bure. Yani ufananishe continous welded na jointed rail!? Makalio
 
lakini si mlisema fans are close to players ama shida iko wap 🤣 🤣 🤣
This is Talanta Stadium
FB_IMG_1790690130216.jpg


This is Emirates Stadium ya Arsenal
view-inside-the-emirates-stadium-also-known-as-ashburton-grove-london-CB8PGP.jpg
653b5bb456aabe55e485e24caf435864_crop_exact.jpg


Show me any slight difference between the two in terms of proximity fans have to the playing surface

Now compare the two to this one where you'll need binoculars to see players
FB_IMG_1791798128678.jpg
 
Huko ni pembezoni ya mji. Na huko ndio kwanza watu wameanza kukata viwanja na kujenga. Angalau hapo kuliko Kibera.
Iwe pembezoni wala nini you'll never see a place like that in Nairobi.

Na kama mnajua hizi zote, sasa majigambo ya ukubwa wa Dar ni ya nini wakati huo ukubwa hauna umuhimu wowote? Mbona mjigambe Dar ni kubwa wakati sehemu nyingi ni mahame tu?
 
Back
Top Bottom