Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,207
- 35,588
We maku gdp ni ungese tu,kwa gdp tulio nayo TZ kamwe haijawahi kukopa ilipe mishahara ya watumishi wa umma,TZ haijawahi kukopa ili ilipe madeni,TZ juzi tu tumemaliza mradi wa nyerere hydropower kwa pesa zetu wenyewe hatujakopa hata dala,tuna mradi wa BRT phase 3 na 4 unaendelea,SGR soon inafika mwanza,kunyan hiyo gdp yenu inawasaidia nini zaidi ya kufake magonjwa ili mpate pesa za WHO 🖕🖕Wewe jua tu Bongolala ndiyo nchi pekee, duniani kote, yenye watu zaidi ya milioni 70+ ambayo haijafika 100B usd. Hata DRC with all the wars wako mbele yenu.
Dangote na ruto wangetusumbua sana kama tusingeeashtukia issue ya refinery,coz it seem pesa wanaunga unga then tanga ruto hana ardhi wala mafuta then alitaka kunyan wawe involve kwa kitu hawajachangia chochote!au hukuskia tangazi uwe na $2000 kwenda mbele 😂 😂 😂 😂 😂
View: https://x.com/seniorHear8090/status/2108753094804726090?s=20
One and only in East and Central Africa. More being built in other Lake Victoria border counties..
Laggard! Tanzania’s is already operating!One and only in East and Central Africa. More being built in other Lake Victoria border counties..
Mlijenga kibanda. You can't compare the one in Mwanza na hiyo ya Kisumu. Actually ya Kisumu is the biggest one along the Lake Victoria.Laggard! Tanzania’s ia already operating!
Kundustan 😂😂👇Uweeh...Yaani Tanzania is the only country that has a population of 70 Million + with a GDP of less than $100B 🤣🤣🤣🤣. Big for Nothing 🤣🤣🤣
Daaah tuache utani hawa jamaa wana maisha mabovu sana kwa raia wao. Bongo hata huko Tandale na Manzese ambako ndio wanaishi choka mbaya huwezi kukuta nyumba za mabati na mazingira mabovu hivi yani nguruwe wanaranda pamoja na binadamu.
Bro picha zingine usilete. Naona kama sio sawa aisee. Lete tu kuonesha slums basi. Ila picha za hunger and famine kama hizi hapana ni sawa na dhihaka usilete kaka.
SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Hizo ni unplanned settlements sio slums makalio wewe.Vingunguti, mazizini, mbagala, gongo la mboto, manzese, mburahati, tabata bima, mwananchi, mabibo kubovu kushin
We jamaa unachekesha sana. Chanika ni pembezoni mwa mji. Kwahiyo wewe ulitaka sehemu zote zijengwe kwa wakati mmoja!? Embu tumia akili kidogo mkubwa wewe sio mtutu.Ukubwa wa Dar ina ubora gani wakati robo yake ni mashamba za mihogo na vichaka? You'll never see something like this in Nairobi View attachment 3685133View attachment 3685135View attachment 3685136