Private aje when other stakeholders including GOK are investing in it? It will be listed in the NSEits a private business what are you expecting
View: https://x.com/patchtvkenya/status/2105265630714671602?s=20
Museven leo kamchana ruto huko lamu,kasema plan ya refinery tanga aliongea na mama samia,hata hajui ruto alipata vipi info akadandia treni kwa mbele,wakamtosa 😄,but leo kawaambia tanga itajengwa refinery,hoima refinery,anadai alienda saudia akakuta refinery 9View attachment 3680894
Kelele zote hizo ni kuhusu EACOP. Just imagin project ya billions of money inakimbizwa haraka haraka kama uuzaji wa nyanya. Refinery project need a lot of process.
Walinusa wakaona kuna Refinery inajengwa Tanga. Sasa wamekuja na kelele ili waonekane wao ndio walikuwa na wazo. We don't Care.
Hiyo dawa yao ni kama paracentamol inatuliza maumivu lakini ugonjwa bado upo pale pale.
Tukiwaambia mu7 ni half Tanzanian wanabisha,leo kawaambia kabisa tanga refinery ipo 🤣🤣
Hamna sehemu kasema hivyo,huyo sativa toka wamle akili yake haijakaa sawa
And what’s the problem there? Good for them. We shall import fuel from Uganda if we decide it’s better for us too, sijui unalia nini.
Kwan safaricom ni ya kenya?Private aje when other stakeholders including GOK are investing in it? It will be listed in the NSE
Either he’s bluffing or it’s just kicks of a dying horse 😆😆😆Uganda haijawahi kutusaliti
View: https://www.instagram.com/p/Dd6QSoJFU8w/?stkn=MXJiaXdjcWJreHhmMw==
Mathare ni fungu la kukosaTukiwaambia mu7 ni half Tanzanian wanabisha,leo kawaambia kabisa tanga refinery ipo 🤣🤣
Endelea na ujinga wako … tunacheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 i know it pains but thats what it is 🤣🤣Either he’s bluffing or it’s just kicks of a dying horse 😆😆😆
endeleeni kucheka siskii sauti 🤣🤣Endelea na ujinga wako … tunacheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣