Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huwa tunawashangaa mnavyoshoboka na wazungu. I’ve personally lived in a corporate for years so najua utamaduni wenu wa kusujudia wazungu, na hii imeenda mbali zaidi kiasi cha kuaujudia hata wahindi mabosi zenu sababu ya stupid & Blind capitalism policies your senior land grabber Jomo Kenyatta adapted .

Siku moja nilikuwa bar moja pale Sandton , wale wahudumu walikuwa wanapuuza meza yetu sababu sisi ni waafrica wakawa wanahudumia tu meza za wazungu, that’s typical you Kunyans.
Nikukumbushe tu , Kenya lilikuwa koloni la mwingereza, hata leo ni koloni la mwingereza, and eventually marekani,
Tanzania haikuwa koloni la mwingereza
ndio maana we do show anyone the good middle finger without giving danm rat’s ass. Yaani siku ile ulisikia Samia Suluhu Hassan anaambia marekani β€œWho are You” haikuwa bahati mbaya, that has been the practice.
 
Hizi ni pumba tupu.
 
Stop lying bro. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzanians hate being African. Mtanzania akikutusi atakwambia wewe no mweusi. Hata hicho kiingereza mkijofunza mnataka kuongea na accent ya wazungu alafu mnakaa mafala. Huku Kenya huwa tunawasema that mnajifunza accent kabla mjifunze kiingereza chenyewe. Unalia mtu anasema 'woraa' wakati kiingereza chenyewe ni broken.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu dada bwana huko Ticktock ameimwagia maua yake Bongo.com mixer kuita wazungu waingizane bongo for the better living. Soma sasa comments za wanuka mavi, kumamaezao hawa shetani wasivyotupenda. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://vt.tiktok.com/ZSb6SuAA6/. Mind you, huyu dada wa kiamerika hajata Kenya popote kwenye maongezi yake, lakini cheki hizo roho mbovu za wanuka mavi

Why are these fools hating on us.? Wanuka nnya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe utamuweza wapi mtanzania anaejua kiingereza matako wewe, kiswahili chenyewe hujui, kiingereza cha kuokoteza okoteza ( kiingereza cha mafungu) chenye accent ya kidwanzi kama unachoongea wewe, unadhani utamtisha nani humu.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unanifurahishaga sana unavyojimwambafai wakati hata kiswahili chako chenyewe hunyooshi matamshi, kibongo bongo wew ni mshamba mmoja tu, kama ulikua hujui leo nakusanua.
 
Yoo one of the strongest reason ya kuzarauliwa wakunya huku bongo ni vile ambavyo hakuna lugha wanayoijua, accent za watu wa vijijini. Viingereza vya mafungu mafungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ very funny people.. they don’t know neither Swahili nor English.

Kama mtu hawezi kunyoosha lugha yoyote huyo ni lofa tu. Mimi binafsi huwa simtilii maanani mtu ambae hata matamshi yake binafsi hana uwezo wa kuyanyoosha ..
 

Niliandika leo mchana.
Shida ni umasikini bro, huwezi kuta Mtanzania anahangaika na post ambayo haijataja Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa wakunya wana matatizo ya akili, nimekuta video Tiktok mwenzao amepanda Air Tanzania, kufungua comments section wanamind kwanini amepanda Air Tanzania.
Enyewe umasikini sio poa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…