Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

most of them are jobless 🤣🤣 wakicheza kidogo wnaondoka na viti
 
wamachinga wako wangapi nchi hii?? kuna utofaut gani wa idadi ya wamachinga na bodaboda au unafkiri watu humu ni vilaza🤣
kwan machinga ni kazi rasmi?? 🤣 🤣 🤣 alafu nani aliwaambia kukaa barabaran ndo sehem rasmi, nenda ukawe machinga bungoma
 
I know you are a bongolala but I didn't expect you to be this thick!

When we say 10% of Dar is connected to sewer system, hatumaanishi Dar land mass. We simply mean households Nyamwezi. Dar is 1600 square meters but we know there are areas within that boundary that do not even have houses, ni mashamba za mihogo and shrubland.

The 40% figure in Nairobi represents a much bigger figure coz Nairobi is built up in almost every section.

Now do the math again and come back later
 
Excuses galore. Alafu andika tu Kiswahili Nyamwezi
sasa wewe una nn cha kusema mwezi uliopita tu nmekufunga 8 times, una nn cha kusema watu wakuskilize

na cha kuongezea kwenye history nzima toka mathare ianze hamjawahi kuwafunga jumlisha hawajacheza 9 years, and yet they draw 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huwa mnatuita wazungu weusi wakati nyie ndio wazungu weusi Shida tu kizungu hamkijui. Yani rangi yenu Waafrika Ila huko kwenu mnaiona Kama matusi. Mtanzania akitaka kukutusi atakuita mweusi utadhani Kwao ni wazungu. No wonder Shida ya kujichubua IPO sana huko Bongolala. Yani hamjipendi kabisa. Mnatamani mngekuwa wazungu. Sometimes I read some of your country men's comments on social media and I'm astonished with the self hate - na vile mnapenda kutuita wazungu weusi Kumbe ni projection tu. Muone huyu hapa kwa mfano:-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…